Posti hii inahusu zaidi kazi ya paracetamol katika kutuliza maumivu, ni Aina ya dawa ambayo utumiwa sana katika kutuliza maumivu kwa wagonjwa.
Kazi za paracetamol katika kutuliza maumivu.
1. Paracetamol ni Aina ya dawa ambayo utuliza maumivu mbalimbali kwenye mwili wa binadamu, na pia ushusha Homa kama Iko juu na pia Kati ya dawa za maumivu ni dawa ambayo utumika Ili kupunguza maumivu kwa watu wenye vidonda vya tumbo, kwa hiyo dawa hii utumiwa kwa ushauri wa daktari au wataalamu mbalimbali wa afya kwa hiyo tutumie dawa hii kwa kufuata maelekezo zaidi kutoka kwa wataalamu wa afya.
2. Dawa hii ya paracetamol utumiwa na uleta mafanikio kwa watu mbalimbali lakini huaribu inni, figo na watu wanaotumia sana pombe hawapaswi kutumia dawa hii au wasitumie pombe mpaka wamalize dozi kwa hiyo hii dawa hazipaswi kutumiwa sana kwa bila sababu hasa wale wasichana wanaoumwa tumbo la siku zao za mwezi upenda kutumia dawa hii kila mwezi siyo vizuri kwa sababu wanaweza kuniletea matatizo ya kuwa na vidonda vya tumbo kwa sababu hii dawa ukwangua ukuta wa tumbo ikiwa zikitumika mara kwa mara.
3. Dawa hizi za paracetamol au Panadol zinakuwa kwa mfumo wa vidonge kwa watu wazima na kwa watoto zinakuwa kwenye maji maji kwa hiyo zinamezwa kwa kutumia maji Safi Ili kwa watoto wanakunywa kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya, kwa hiyo hizi dawa tunajua kuwa zinapungiza maumivu tusizitumie kiholela Bali tuzitumia kwa ushauri wa daktari na wataalamu wa afya kwa sababu kila dawa uwa na matumizi yake kwa hiyo ikiwa mtu amezitumia vibaya anaweza kujiletea matatizo ya Bure .
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi watu ambao wana uwezo wa kutumia vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya watu au makundi yanayoweza kutumia vidonge hivi.
Soma Zaidi...Diazepam ni nini? Diazepam ni Dawa ambayo Huathiri kemikali kwenye ubongo ambazo zinaweza kukosa uwiano na kusababisha wasiwasi. Diazepam hutumiwa kutibu matatizo ya wasiwasi, dalili za kuacha pombe, au misuli. Diazepam wakati mwingine hutumiwa pamoja n
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ibuprofen katika kutuliza maumivu, ni aina mojawapo ya dawa na yenyewe ufanya kazi kama aspirin na paracetamol
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya propranolol katika matibabu ya magonjwa ya moyo, dawa hii ipo kwenye kundi la beta blockers na ufanya Kazi mbalimbali hasa kwa wagonjwa wa moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya streptomycin ni dawa mojawapo ya kupambana na bakteria hasa wanaoshambulia mfumo wa hewa.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za kutibu kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali za kutibu minyoo, tunafahamu kabisa minyoo ni ugonjwa ambao uwapata watu mbalimbali hasa watoto.
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo hutokea sana kwa wajawazito. Ijapokuwa ni hali ya usumbufu sana ila hakikisha hautumii madawa kiholela kutoka maduka ya dawa ama miti shamba. Kwani ukikisea kidogobinawezabhatarisha afya ya mtoto
Soma Zaidi...