Dawa za fangasi ukeni
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za fangasi ukeni
DAWA YA FANGASI UKENIFangasi ukeni wanaweza kuwa ni tatizo kubwa na wakati mwengine wanaweza kuleta aina, madhara na kupoteza ladha ya mapenzi. Fangasi ukeni ni rahisi kutibika kama mwanamke atatumia dawa kwa uangalifu. Unaweza kutibu fangasi ukeni kwa kutumia dawa za kupata kutoka katika maduka ya dawa. Kama hali haina nafuu muonedaktari anaweza kukuandikia dawa za kumeza ama sindano ikibidi. Kunawada nyingine si za kupaka ila ni vidonge, hivi mwanamke ataweza ukeni na kitamumunyika chenyewe.
Makala hii inakwenda kukuletea tiba na dawa za fangasi ukeni, sababu zake, namna ya kupambana na fangasi hawa na dalili za fangasi ukeni. Pia tutaona madhara ya fangasi ukeni endapo watachelewa kutibiwa. Soma mkala hii hadi mwisho huwenda ikakusaidia sana.
1.Dawa ya fangasi ukeni ya kupakaA.ClotrimazoleB.MiconazoleC.TioconazoleD.TerconazoleE.Butoconazole
Ni vyema kumuona daktari kwanza kabla hujatumia dawa hizi. Kwa mfano terconazole na butoconazole zinahitaji maelezo kutoka kwa daktari kwa usalama zaidi wa afya yako.
2.Dawa ya fangasi ukeni ya kumezaEndapo dawa za kupaka hazikuonyesha ahueni, mgonjwa atabadilishiwa dawa na kupewa za kumeza ama sindano.fluconazoe (diflucan) hii ni nzuri sana kwa wenye fangasi silizoshindikana kwa dawa za kupaka. Pata kwa nza maelezo ya daktari kabla ya kutumia. Dawa hii haitumiwi na wajawazito. Ukitumia dawa hii unaweza kuona mabadiliko kama maumivu ya tumbo au tumbo kuvurugika na maumivu ya kichwa.
3.Dawa ya fangasi ukeni walio sugu (azole resistant therapy).Dawa hii sio ya kumeza, maana ni hatari sana. Napi asio ya kupaka. Dawa hii hutumika endapo ddawa za hapo juu zimeshindikana. Kwanamke atapewa dawa hii aiingize kwenye uke wake.
Nini kinasababisha fangasi ukeni?Fangasi ukeni husababishwa na ina ya fangasi wanaoitwa candida albican. Kikawaida ukeni kuna bakteria na fangasi aina ya candida kwa kiwango maalumu. Pia kuna aina ya fangasi waitwao lactobacillus hawa huzuia ongezeko la fangasi candida wasiwe wengi kupitiliza. Sasa endapo fangasi candida wakizaliana kwa wingi na kupitiliza kiwango ndipo madhara yanaanza kuonekana. Swali la kijuliza hapa inakuwaje fangasi hawa wanazaliana zaidi?
Sababu za kuzaliana fangasi ukeni kwa wingi:A.Kama mwanamke anatumia dawa za antibioticsB.Kama mwanamke ana mimbaC.Kisukari kilichoshindwa kudhibitiwaD.Mfumo wa kinga kudhoofuE.Kutumia dawa za kudhibiti uzazi wa mpango dawa za kumeza.
Namna ya kujilinda na fangasi wa ukeni
1.Jiepushe kuvaa nguo za ndani zilizobana sana
2.Jizuie kusafisha uke kwa kemikali
3.Jiepushe na baadhi ya vifaa vya wanawake vilivyowekewa manukato kama pedi zenye manukato, badhi ya sabuni zenye manukato za kusafishia uke n.k
4.Kama huna ulazima wa kutumia antibiotics wacha kutumia
5.Usivae nguo zenye majimaji, hakikisha nguo zako ni kavu, ni vuema zile za ndani zikawa ni za pamba.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Kitabu cha Afya 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Simulizi za Hadithi Audio 👉6 ai web app
Post zinazofanana:
Dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Somo hili linakwenda kukuletea dawa ya kuzuia kuathirika kwa watu walio hatarini kupata VVU
Soma Zaidi...Fahamu dawa za kutuliza magonjwa ya akili inayoitwa Chlorpromazine
Post hii inahusu zaidi dawa zinazosaidis katika kutuliza magonjwa ya akili, dawa hii kwa kitaamu huiitwa chlorpromazine ni dawa ambayo utumiwa na watu wenye tatizo la magonjwa ya akili na kwa kiasi kikubwa huwa sawa.
Soma Zaidi...Faida za vidonge vya antroextra
Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya antroextra, ni vidonge kwa ajili ya mifupa, viungo na gegedu, hivi vidonge vimetumiwa na watu wengi na matokeo yake ni mazuri sana, kwa hiyo zifuatazo ni faida za vidonge hivi.
Soma Zaidi...Ijue dawa ya cephalosporin katika kupambana na bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya cephalosporin katika kupambana na bakteria, ni mojawapo ya kundi kati ya makundi ya kupambana na bakteria ambalo ufanya Kazi kama penicillin.
Soma Zaidi...Vyakula vya kusaidia katika matibabu ya kiungulia
PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...Fahamu dawa ya haloperidol katika matibabu ya akili
Post hii inahusu dawa ya haloperidol katika matibabu ya magonjwa ya akili, ni mojawapo ya dawa ambayo utumiwa na wagonjwa ambao wamechananyikiwa.
Soma Zaidi...