Heti kama mtu kafany mapenzi na mtu mwe ukimwi siku hihiyo akenda hospitali kapewa dawa kweli hataweza kuwabukizwa

Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.

Swali: 

Et km mt kafany mapz namtu mwe ukimw  sikuhihiyo akend sipitali kapewa sawa kweli hatawa kuwabukizwa

 

Jibu hawezi kuambukiza endapo atatumia dawa kwa kufuata maelekezo na katika muda sahihi. Dawa ya PrEP kama utatumia vyema kwa kufuata maelekezo inaweza kupunguza chansi ya kupata maambukizi kwa 99%.

 

Hata hivyo uwezekano bado upo japo ni mdogo. Hivyo basi kikubwa ni kuwa makini zaidi. Endapo utajitilia shaka na ukaanza dawa usisubutu kuhatarisha wengine. Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/11/29/Tuesday - 02:02:10 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 562


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-