Dalili za madonda ya koo
Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya koo, ni ugonjwa unaoshambulia sana sehemu ya koo la hewa, na na huwa na dalili zake kama ifuayavyo.
Dalili za madonda ya koo
1. Maumivu makali kwenye Koo la hewa
2, kuvimba kwenye sehemu ya hewa na kukosekana kwa raha kwenye Koo l a hewa
3. Kushindwa kumeza chakula kwa sababu ya maumivu makali kwenye Koo la hewa
4, sauti kubadilika yaani inakwaluza kwa sababu ya maumivu kwenye sehemu ya hewa
5. Watoto wadogo kushindwa kula kabisa chakula kwa sababu ya kuwepo kwa maumivu makali
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina π2 Simulizi za Hadithi Audio π3 Kitau cha Fiqh π4 Kitabu cha Afya π5 Dua za Mitume na Manabii π6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
βDalili za UKIMWI Huchukua Muda Gani Kuonekana?
Watu wengi hujiuliza ni muda gani huchukua kwa mtu aliyeambukizwa virusi vya HIV kuanza kuonyesha dalili za UKIMWI. Makala hii inafafanua hatua tatu za maambukizi ya HIV, muda unaochukua kwa dalili kujitokeza, na kwa nini kupima ndiyo njia pekee ya uhakika ya kujua afya yako.
Soma Zaidi...Sababu za Maumivu ya Korodani
Maumivu ya korodani ni tatizo linaloweza kusababishwa na mambo mengi, kuanzia majeraha madogo hadi hali za kiafya zinazohitaji matibabu ya haraka. Makala haya yanalenga kutoa ufahamu kuhusu visababishi hivi na kusisitiza umuhimu wa kuona daktari pale maumivu yanapokuwa makali au ya ghafla.
Soma Zaidi...Kujiamini na jinsi ya kuondoa hofu ya kushindwa.
Hofu ya kushindwa ni moja ya vikwazo vikubwa vinavyozuia watu wengi kufikia malengo na ndoto zao. Inatufanya tubaki kwenye maeneo tuliyoyazoea (comfort zone) na kuogopa kujaribu fursa mpya. Makala haya yanachambua jinsi hofu hii inavyofanya kazi na kukupa mbinu za kisaikolojia za kukusaidia kujenga ujasiri na kubadili mtazamo wako kuelekea mafanikio makubwa.
Soma Zaidi...Dalili za kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu
Post hii inahusu Zaidi dalili za kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu, ni dalili ambazo zinaweza kujitokeza Kwa mgonjwa,Kwa hiyo baada ya kuona dalili hizi mgonjwa anapaswa kuwahi hospital mara moja Kwa ajili ya matibabu.
Soma Zaidi...Sababu za Kuwashwa Sehemu za Siri kwa Mwanaume
Kuwashwa kwa sehemu za siri kwa mwanaume ni changamoto inayoweza kuleta usumbufu mkubwa na aibu kijamii. Tofauti na dhana iliyozoeleka, hali hii haisababishwi na magonjwa ya ngono pekee; inaweza kutokana na maambukizi ya fangasi, mzio (allergies), au usafi duni. Makala haya yanachambua vyanzo vikuu vya muwasho huo na kutoa ukweli wa kisayansi (Fact Check) ili kusaidia wanaume kuchukua hatua sahihi za kiafya.
Soma Zaidi...Dalili za miguu kufa ganzi
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo Uweza kujitokeza na kuona kwamba ni Dalili za miguu kufa ganzi, pengine utokea kwa watu wote na pengine huwa ni kwa ghafla
Soma Zaidi...