Aina za ajali kwenye kifua,

Post hii inahusu Zaidi aina za ajali kwenye kifua,pamoja na kifua kuwa na sehemu mbalimbali na pia na ajali ambazo utokea Huwa za aina mbalimbali kama tutakavyoona.

Ajali kwenye kifua.

1. Kuwepo Kwa hewa kwenye ukuta wa moyo au mapafu.

Kama ajali ikitokea uleta madhara ambapo hewa uingia kwenye Kuta za moyo na mapafu ambazo usababisha kuwepo Kwa maambukizi kwenye sehemu hizo na kuweza kuleta kitu kingine.kwa kitaalamu hali hii huitwa pneumothorax.

 

 

2. Kuwepo Kwa damu kwenye Kuta za moyo na mapafu au sehemu yoyote ile iliyozunguka kifua.

Kwa wakati mwingine kunakuwepo na damu kwenye mapafu, moyo au sehemu yoyote ile ambayo uzunguka kifua,Kwa sababu pale mtu akipata ajali usababisha mishipa kupasuka na kuwepo Kwa damu kwenye sehemu za kifua.

 

 

 

3. Kuwepo Kwa mivunjiko midogo midogo kwenye pingingili za kwenye kifua.

Kuna wakati mwingine kwenye kifua panakuwepo na mivunjiko midogo midogo ambayo usababishwa na ajali au kitu chochote ambacho uingia kwenye kifua na Kwa kawaida umfanya mgonjwa kuhisi maumivu Makali.

 

 

 

4. Kuwepo na majeraha kwenye nyama za moyo na pengine kuharibika Kwa mishipa ya artery.

Kwa kawaida ajali ikitokea usababisha kuwepo Kwa mishutuko kwenye sehemu za kifua hasa kwenye nyama nyama za moyo na kusababisha mishipa ya kwenye moyo kupasuka na mtu ambaye amepata ajary uweza kutoa damu kupitia sehemu mbalimbali za mwili kama vile kwenye pua au kwenye mdomo,Kwa hiyo ni vizuri kabisa ukiona ajali imetokea kuangalia Kwa kutumia wataalamu ili kuona ni sahemu gani ambapo damu zibatoka na kuanza matibabu mara moja.

 

 

 

5. Pia kuwepo Kwa majeraaha kwenye sehemu za mapafu.

Kuna wakati mwingine ajali kwenye sehemu za kifua ikitokea usababisha kuwepo Kwa majeraaha kwenye sehemu za mapafu na kusababisha kuwepo Kwa maambukizi ikiwa matibabu hayatatokea mapema na pia  na pia usababisha mgonjwa kukohoa na kutoa by mapiovuJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2023/11/15/Wednesday - 11:16:59 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 432


Download our Apps
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-