Yajue magonjwa ya jicho

Posti hii inahusu zaidi Magonjwa ya jicho,ni Magonjwa ambayo ushambulia sehemu mbalimbali za jicho kwa mfano kwenye retina,kuaribu mishipa ya retina ,macho kuwa makavu na pia mtoto wa jicho, hali hii ya magonjwa ya macho Usababisha madhara mbalimbali kama

Magonjwa ya jicho.

1. Kuharibka kwa retina .

Kuaribika kwa retina kwa kitaalamu huitwa macula, tunajua wazi kwamba retina ndiyo sehemu muhimu ambayo Usababisha kusafilisha mwanga mpaka kwenye ubongo ili mtu aweze kutambua na kuona kwa hiyo retina ikiaribika tunaweza kupata upofu kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha kuwa tunatumia macho yetu vizuri ili kuweza kuepuka madhara mbalimbali.

 

2. Kuaribika kwa mfumo wa kupeleka picha kwenye ubongo ambayo kwa kitaalamu huitwa Glaucoma

Kuna wakati mwingine kuna wakati mfumo wa kupeleka picha kwenye ubongo uharibika, tunajua wazi kuwa ili mtu aweze kupona anapaswa kuwa na sehemu hii na iwe nzima pakitokea shida yoyote kuona kunakuwa kwa shida na matibabu yasipotolewa tunaweza kupata upofu.

 

3. Kuaribika kwa mishipa ya retina.

Kuna wakati mwingine mishipa ya retina uharibika na kushindwa kufanya kazi vizuri kwa hiyo mtu mwenye tatizo hili uona kwa shida hasa hasa matatizo haya uwapata watu wenye ugonjwa wa kisukari kwa hiyo wanaweza kutumia miuani na maisha yanaenda kawaida.

 

4. Macho kuwa makavu.

Kwa wakati mwingine macho yanakuwa makavu kwa sababu sehemu inayozalisha maji maji huwa na matatizo kwa hiyo macho utoa Matongo tongo hali hii ikitokea inaweza kupona kwa hiyo ni vizuri kuwahi hospitalini.

 

5. Mtoto wa jicho kushambuliwa.

Tunajua kuwa kwenye jicho huwa kuna mtoto wa jicho ambaye anaweza kufanya kazi mbalimbali kwenye kuona kwa hiyo huyu alishambuliwa uleta madhara ya jicho kuona vizuri.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/07/Monday - 07:43:29 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 937


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-