Makala hii itazungumzia dalili za Malaria, athari za kuchelewa kutibu malaria, na matibabu ya malaria
DALILI ZA MALARIA
Malaria ni oja kati ya magonjwa yanayosumbuwa sana maeneo yenye joto. Malaria husababisha maelfu ya watu kupoteza maisha duniani kila mwaka. Ni mbu mmoja tu ndiye anayeweza kuambukiza malari, mbu huyu ni aina ya Anopheles. Malaria kama ikichelewa kutibiwa inaweza kuathiri ubongo, ini na viungo vinginevyo na hatimaye kusababisha kifo.
Dalili za malaria
1.Homa kali inayofika nyuzi joto 38 ama zaidi
2.Kujihisi mwili wote umoto
3.Maumivu ya kichwa
4.Kutapika
5.Maumivu ya misuli
6.Kuharisha
7.Baridi na kutetemeka
Mara nyingii dalili za malaria hutokea kati ya siku 7 mapaka 18 toka kuambukizwa.
Nini chanzo cha malaria
Malaria husababishwa na vijidudu vidogo parasite wanaojulikana kama plasmodium. Vijidudu hivi hubebwa na mbu aina ya anophelezi. Kuna ina nyingi za plasmodium lakini aina 5 tu ndizo husababisha malaria. Mbu anayeeneza malaeia hungβata wakati wa kiza kinene. Sasa wakatu mbu ambaye na vimelea hivi yaani plasmodium aking;ata mtu vimelea hivi humuingia huyo mtu na kuanza kuzaliana ndani ya huyo mtu na baadaye kupata malaria.
Viungo vunavyoathiriwa na malaria.
Kama tulivyoona hapo mwanzo kuwa malaria inaweza kuathiri viungo mbalimbali. Na kama haita tibiwa inaweza kusababisha kifo. Sasa hebu tuone viungo hivyo:-
1.Ubongo; endapo malariaiyafikia kuathiri ubongo hii ni hatuwa mbaya sana. Kwani ionaweza kusababisha vijishipa vidongo kwenye ubongo kuziba hivyo damu na virutubisha havitafikia vyema kwenye ubongo. Ubongo utaanza kudhoofika na mtu kupoteza fahamu. Hali ikiendelea ubongo mgonjwa naweza kupoteza maisha.
2.Endapo malaria haitatibiwa haraka, vijidudu vinaweza kuathiri figo na ini. Vinaweza kuathiri utendaji wa kazi ama kupelekea kufa kabisa kwa figo na ini
3.Mapafu pia huweza kuathiriwa na vijidudu hivi vya malari
4.damu
Matibabu
Fika kituo cha afya jirani yako, upatiwa vipimo kisha tumia dawa. Ama fika duka la dawamueleze akupe dawa ya malaria.
Umeionaje Makala hii.. ?
MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali la muulizaji. Kuhusu syyle za tendo la ndoa
Soma Zaidi...Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote katika umri wowote ule. Ijapokuwa nyingine si kwa wote ni kwa baadhi ya watu. hapa nitakuletea sababu 5 tu.
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa upungufu wa Adrenali ni ugonjwa ambao hutokea wakati mwili wako hutoa kiasi cha kutosha cha homoni fulani zinazozalishwa na tezi zako za adrenali. ugonjwa huu hutokea katika makundi yote ya umri na huathiri
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na ugonjwa ambao husababisha kuvimba kwa mishipa ya damu katika mwili wako wote. Ambao kitaalamu hujulikana Kama Behcet .
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...