maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?

maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?

Dr huwa nasikia maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?

maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?

Dr huwa nasikia maumivu makali sana juu ya tumbo yn kama kuna moto hivi na mgongon kama unadungwa sindano hivi je hizo ni dalili za vidonda vya tumbo?



Namba ya swali 059

Yes vidonda vya tumbo vinaweza kusababisha maumivu ya mgongo. Ila kumbuka hizi ni dalili tu. Ni vyema kwendabkuthibitisha hospitali



Namba ya swali 059

sawa



Namba ya swali 059

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views: 5139

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 web hosting     👉5 ai web app     👉6 Simulizi za Hadithi Audio    

Post zinazofanana:

Dalili na Ishara za mawe kwenye figo

Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako.

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa upele

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa upele, ni dalili au mwonekano wa mgonjwa wa upele.

Soma Zaidi...
Njia za kupunguza makali ya pressure au shinikizo la damu

Posti hii inahusu zaidi njia mbalimbali za kupunguza ugonjwa wa pressure au shinikizo la damu kwa waliokwisha kupata wanaweza kupunguza na kwa wake ambao hawajapata ni nzuri inawasaidia kuepuka hatari ya kupata ppresha.

Soma Zaidi...
Homa ya matumbo (Typhoid): Jinsi ya kuepuka kurudia kwa ugonjwa.

​Homa ya matumbo (Typhoid fever) ni ugonjwa unaoambukizwa kupitia chakula na maji yaliyochafuka, ukiwa unasababishwa na bakteria aina ya Salmonella Typhi. Licha ya kupata matibabu ya dawa, wagonjwa wengi hukabiliwa na hatari ya ugonjwa huu kujirudia. Makala haya yanatoa mwongozo wa kina kuhusu namna ya kuzuia maambukizi mapya na kuelewa umuhimu wa usafi wa mazingira na chanjo katika kuimarisha afya yako.

Soma Zaidi...
Dalili za ugonjwa wa vericose veini

Posti hii inahusu zaidi dalili za ugonjwa wa vericose veini

Soma Zaidi...
Mashambulizi ya hofu (Panic Attacks): Hatua za kuchukua yanapotokea.

​Mashambulizi ya hofu (panic attacks) ni hali ya ghafla ya woga mkali inayoweza kuambatana na dalili za kimwili zinazotisha. Makala haya yanafafanua kwa kina nini ni mashambulizi ya hofu, hatua za haraka za kuchukua yanapotokea, na umuhimu wa kutafuta msaada wa kitaalamu ili kudhibiti afya ya akili kwa muda mrefu.

Soma Zaidi...