Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya dalili za maralia
DALILI ZA MALARIA
Malaria ni oja kati ya magonjwa yanayosumbuwa sana maeneo yenye joto. Malaria husababisha maelfu ya watu kupoteza maisha duniani kila mwaka. Ni mbu mmoja tu ndiye anayeweza kuambukiza malari, mbu huyu ni aina ya Anopheles. Malaria kama ikichelewa kutibiwa inaweza kuathiri ubongo, ini na viungo vinginevyo na hatimaye kusababisha kifo.
Dalili za malaria
1.Homa kali inayofika nyuzi joto 38 ama zaidi
2.Kujihisi mwili wote umoto
3.Maumivu ya kichwa
4.Kutapika
5.Maumivu ya misuli
6.Kuharisha
7.Baridi na kutetemeka
Mara nyingii dalili za malaria hutokea kati ya siku 7 mapaka 18 toka kuambukizwa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Makala hii itakwenda kukupa elimu juu ya maradhi haya ya ukimwi, dalili zake, tiba na kinga zake na mengineyo zaidi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia ambazo zinaweza kutumika Ili kuweza kupunguza kuwepo kwa magonjwa ya zinaa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia Watu wale ambao wana Maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
Soma Zaidi...Je na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo?
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kuangalia mlo sahihi wa mwenye vidonda vya tumbo. Hata utajifunza ni vyakula vipi hapaswi kula na vipi ana paswa kula.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu magonjwa ya zinaa, ni magonjwa yanayosambaa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine kwa njia ya kujamiiana pasipo kutumia kinga au kwa lugha nyingine tunaita ngono zembe.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya tumbo kitovuni
Soma Zaidi...Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.
Soma Zaidi...Jipu la jino ni mfuko wa usaha unaosababishwa na maambukizi ya bakteria. Jipu linaweza kutokea katika maeneo tofauti ya jino kwa sababu tofauti.
Soma Zaidi...