Ujuwevmv ugonjwa Nimonia na dalili zake
Nimonia ni Hali ya kuvimba pafu inayoathiri hasa vifuko vya hewa viitwavyo Alveoli, husababishwa na Maambukizi ya virusi
Dalili za Nimonia
1.joto la mwili kushuka
2.kikohozi
3,mwili kuchoka
4.homa za mara kwa mara
Visababishi vya ugonjwa huu
-virusi
-baktaria
Walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu ni wafuatao.
-watoto wadogo chini ya miaka mitano hasa
-wazee
-ambao kinga zao ziko chini
-wavutaji wa sigara
-watumiaji wavilei vikali
Visababishi vya ugonjwa huu ni zifuatazo
1.bakteria
2.virusi
Namna ya kuepuka ugonjwa huu
1.kuepuka uvutaji wa sigara
2.kuachana na vileo vikali
3.kutumia vyakula vinavyoongeza kinga
4.kufanya mazoezi
Pamoja na kuwepo kwa ugonjwa huu tunapaswa kwenda hospitalini mara moja Ili kuepuka madhara makubwa yanayoweza kujitokeza.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 web hosting 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Namna Maambukizi kwenye milija na ovari yanavyotokea
Post hii inahusu zaidi namna Maambukizi kwenye milija na ovari ambayo yanatokea,Mara nyingi usababisha na bakteria wanaoweza kuingia kupitia sehemu mbalimbali.
Soma Zaidi...Kushambuliwa kwa moyo na kupumua
Post hii inahusu zaidi kuhusu kushambuliwa kwa moyo na kupumua, kushambuliwa kwa moyo na kupumua kwa kitaala huitwa (cardiopulmonary Arrest) ni kitendo Cha kusimama ghafla kwa moyo na kupumua.
Soma Zaidi...NINI CHANZO CHA UGONJWA WA MALARIA? NI YUPI MBU ANAYESAMBAZA MALARIA
Malaria husababishwa na vimelea (parasite) ambavyo husambazwa ama kubebwa na mbu aina ya anopheles.
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo.
Post yetu Leo inaenda kuzungumzia Maumivu ya nyuma ni malalamiko ya kawaida. Kwa upande mkali, unaweza kuchukua hatua za kuzuia au kupunguza matukio mengi ya maumivu ya mgongo. Ikiwa kinga itashindikana, matibabu rahisi ya nyumbani na mbinu sahihi za m
Soma Zaidi...Dalili za Saratani ya utumbo mdogo.
Posti hii inaonyesha ishara na dalili za Saratani ya utumbo mdogo
Soma Zaidi...Vyakula vya kuepuka kama una shinikizo la damu.
Shinikizo la damu (hypertension) ni hali ambayo mara nyingi haionyeshi dalili za wazi, lakini ikipuuzwa, inaweza kusababisha madhara makubwa kama vile kiharusi, magonjwa ya moyo, na figo. Mkakati mkuu wa kudhibiti shinikizo la damu hauhusishi dawa pekee, bali ni mabadiliko ya mfumo wa maisha, hususan lishe. Makala haya yanachambua vyakula vinavyopaswa kuepukwa ili kusaidia kupunguza shinikizo na kuimarisha afya ya mfumo wa mzunguko wa damu.
Soma Zaidi...