image

Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea ikiwa homoni ya projestron ikipungua mwilini na pia kuweza kutambua dalili za kupungua kwa homoni hii ya progesterone.

Madhara ya kupungua kwa homoni ya projestron

1. Upungufu wa homoni ya projestron usababisha mvurugiko kwenye mfumo wa mwili kwa wanawake wa rika zote , vyanzo vya kufanya homoni hii kupungua ninvingi ila mojawapo ni mfumo wa ukaji vyakula ambapo unakuta mtu anakula vyakula vya aina Moja kwa mfano mtu anatumia chips tu kwa mda mrefu na vyakula kama hivyo.

 

2. Kwa kawaida tunapaswa kutumia vyakula vya mlo kamili ikiwapo pamoja na mboga za majani na matunda, kitu kingine kinachosababisha  upungufu wa homoni hii ni pamoja na matumizi ya uzazi wa mpango kwa sababu unakuta Mama anatumia njia hii inashindikana na anatumia nyingine ikiambatana na kutokwa na damu, hali hii inasababisha kupungua kwa kiwango cha homoni ya projestron.

 

3. Kwenye matumizi ya uzazi wa mpango unakuta pengine homoni hii inaongezeka kwa kupita kiasi hali inayosababisha matatizo pia, kwa sababu unakuta mama anatumia njia ya uzazi wa mpango na njia hiyo Ina homoni hiyo hiyo ambayo imo kwenye mwili wa Mama kwa hiyo unakuta homoni inakuwa nyingi mwilini na kusababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.

 

4. Kwa hiyo tunapaswa kula chakula chenye kiwango kidogo cha mafuta, maji kwa wingi, chumvi kidogo na matumizi makubwa ya mboga mbona za majani na matunda , na pia tuwe makini wakati wa kuchagua njia ya uzazi wa mpango au ikishindikina ni vizuri kutumia njia za asili za uzazi wa mpango Ili kuweza kuepuka maambukizi.

 

5. Kwa hiyo aina hii ya homoni inapaswa kuwa na uwiano kabisa kwenye mwili kwa sababu ikiwa ndogo matatizo ya kupata mtoto yanaweza kutokea kwa sababu ya kuwepo kwa kiwango kidogo cha projestron 





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1311


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Je, mwanamke anapataje Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi PID?
Posti hii inaelezea namna mwanamke anavyoweza kupata Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi. Soma Zaidi...

Fahamu sifa za Ute wa siku za kupata mimba yaani ovulation day
Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai. Soma Zaidi...

Kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa Ute wakati wa tendo la ndoa,ni Dalili ya kuwepo kwa kiwango kikubwa cha estrogen kwenye mwili ukilinganisha na homoni ya projestoren. Soma Zaidi...

Zijue sababu za kutobeba mimba
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali ambazo zinamfanya mama au dada kutobeba mimba. Kwa hiyo tutaziona hapo chini kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA
Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto. Soma Zaidi...

Nini kinasababisha uume kutoa maji meupe bila muwasho,na tiba yake ni ipi
Je unasumbuliwa na Majimaji kwenye uume. Je unapata miwasho, ama maumivu wakati wakukojoa. Soma Zaidi...

Madhara ya mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa. Soma Zaidi...

Sababu za kutoshika mimba kwa mwanamke
Post hii inahusu zaidi sababu za kutoshika mimba kwa mwanamke, kuna kipindi ambacho mwanamke hushindwa kushika mimba kuna sababu mbalimbali mojawapo ni kama zifuatazo Soma Zaidi...

Yajue madhara ya kutoa mimba mara Kwa mara
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kwa wale wenye tabia ya kutoa mimba mara Kwa mara . Soma Zaidi...

Nini husababisha upungufu wa nguvu za kiume
Post hii itakujulidha mambo ambayo hupunguza nguvu za kiume Soma Zaidi...

Ni ipi hasa siku ambayo nitafute ujauzito
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu siku za kutafuta ujauzito Soma Zaidi...

Namna ya kufunga kitovu cha mtoto.
Posti hii inahusu zaidi njia au namna ya kufunga kitovu cha mtoto mara tu anapozaliwa, kwa kawaida tunafahamu kwamba ili mtoto aweze kuishi akiwa tumboni anategemea sana kula na kufanya shughuli zake kwa kupitia kwenye plasenta kwa hiyo mtoto akizaliwa tu Soma Zaidi...