SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA

Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto.

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA

SABABU ZA KUKOSA HAMU YA TENDO LANDOA

Hii ni hali inayompata mtu kukosa hamu kabisa ya kushiriki kitendo chochote kinachohusiana na kufanya tendo landoa au bunyeto. Hali hii kitaalamu hufahamika kama hypoactive sexual desire disorder (HSDD). Pia kuna watu wengine wanakuwa na hisia chache kuhusu kitendo hiki. Hali hii huwapata wanaume na wanawake. Sababu za kukosa kabisa hamu ya tendo la ndoa ama hamu kuwa ndogo, sababu zao wote hufanana.

 

Sababu za kutokea kwa hali mbili hizi:

  1. Mumivu wakati wa tendo la ndoa
  2. Matumizi ya baadhi ya madawa ya arthritis, saratani, kisukari, presha ya kupanda, maradhi ya moyo na maradhi ya mfumo wa fahamu
  3. Namna ya mtu anavyoishi kwa mfao unywaji wa pombe kupitiliza
  4. Kama mtu alifanyiwa upasuaji maeneo ya nyeti kama matiti, kwenye uke
  5. Uchovu
  6. Matatizo katika homoni
  7. Afya ya akili
  8. Kuwa na msongo wa mawazo
  9. Kutokujiamini
  10. Mahusiano yasiyo mazuri na mwenza


                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 252


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-