Fahamu sifa za Ute wa siku za kupata mimba yaani ovulation day

Posti hii inahusu zaidi sifa za Ute wa ovulation, ni Ute ambao utokea siku za ovulation yaani siku ambazo ni tayari kwa kubeba mimba, yaani siku za upevishaji wa yai.

Fahamu Ute unaotoka siku ya ovulation.

1. Ute huu ni Ute ambao utokea kwenye siku ya kubebesha mimba kama tulivyosema hapo mwanzoni ni Ute ambao hata ukiuona huwa na sifa za pekee kuliko Ute wowote ule.

 

2. Ute huu kwa kawaida uzalishwa kwenye shingo ya kizazi au kwa lugha nyingine ni  mlango wa kizazi au kwa kitaalamu huitwa cervix.

 

3. Kwa hiyo kwa kawaida Ute huu ufanana na Ute wa kwenye yai huwa ni mweupe kabisa, kwa hiyo mwanamke akipata Ute wa hivi anaweza kuwa tayari kubeba mimba.

 

4. Kuna wakati mwingine Ute unaweza kubadilika na kuwa tofauti kwa sababu ya kuwepo kwa maambukizi kama vile magonjwa ya zinaa na mambo mengine kama hayo, kwa hiyo ni vizuri kabisa kujua aina hii ya Ute na kuhakikisha kupata matibabu Ili kuwepo kwa Ute mzuri mweupe wa ovulationJe! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/20/Wednesday - 12:32:10 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 766


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-