Posti hii inahusu zaidi kazi ya chanjo za polio na kazi zake,hii ni chanjo ambayo unazuia maambukizi ya Virusi vinavyosababisha polio.
Kazi za chanjo ya polio.
1. Chanjo ya polio ni Aina mojawapo ya chanjo ambayo utolewa kwa watoto wadogo Ili kuwakinga na virusi vinavyosababisha polio, polio ni ugonjwa mbaya ambapo ukimshambulia mtoto unaweza kuleta madhara makubwa kwa mtoto maisha yake yote kwa hiyo ndio maana selikali na ulimwengu mzima ujitahidi kuwapatia watoto wadogo chanjo hii mara tu baada ya kuzaliwa.
2. Chanjo hii mtoto anapewa pindi tu anapozaliwa, tena anapewa baada ya wiki sita tena anapewa baada ya wiki nne mpaka pale anapofikisha miezi miwili na nusu anakuwa bado anapewa chanjo hii ya polio, kwa hiyo mama na walezi wa mtoto wanapaswa kujua kabisa mda na wakati wa kumpeleka mtoto kwa ajili ya kupata chanjo Ili kumwepushia madhara mbalimbali ambayo yanaweza kujitokeza kwa sababu ya kutopata hii chanjo.
3. Chanjo ya polio isipotolewa mtoto anaweza kupata ugonjwa wa polio ambapo kwa kuangalia dalili mbalimbali kama vile utepe kwenye mguu au mkojo, ulemavu wa maisha na pengine mtoto anaweza kupooza kwa Saba ya Virusi vinavyosababishwa na ugonjwa wa polio, kwa hiyo akina Mama na walezi wote wanapaswa kupewa elimu kuhusu matatizo ambayo utokea kwa watoto wadogo wasipopata chanjo ya polio na wataweza kuona umuhimu wa kuwapatia watoto chanjo.
4. Pamoja na kuwepo kwa chanjo ya ugonjwa wa polio Kuna matokea ambayo yanaweza kutokea kwa mtoto baada ya kupata chanjo hii, ni kama vile Alama kwenye sehemu ambapo chanjo imetolewA na maumivu kidogo ambayo udumu kwa mda kidogo. Kwa hiyo mama au mlezi wakiona dalili ya mtoto kukosa raha na kulia wasishangae kwa sababu ni maumivu kidogo ya chanjo na uisha kwa mda mfupi tu.
Je! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1069
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi
👉2 Madrasa kiganjani
👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉4 Simulizi za Hadithi Audio
👉5 Kitau cha Fiqh
👉6 Kitabu cha Afya
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYENG’ATWA NA NYUKI
Kung’atwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki. Soma Zaidi...
Njia za kushusha presha
Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda. Soma Zaidi...
Huduma ya kanza kwa mgonjwa mwenye jeraha la kawaida kwenye ubongo
Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza ya mgonjwa mwenye jeraha la kawaida kwenye ubongo, ni Tiba ambayo utolewa kulingana na dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo kama ifuayavyo. Soma Zaidi...
Umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua. Soma Zaidi...
Yajue malengo ya kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda. Soma Zaidi...
Kwanini mdomo unakuwa mchungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu Soma Zaidi...
Upungufu wa protin
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa protini Soma Zaidi...
Namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo
Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni njia ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo Soma Zaidi...
HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEPANDWA NA PRESHA
Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg. Soma Zaidi...
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyeshambuliwa na moyo na kushindwa kupumua
Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena, Soma Zaidi...
Zijue sababu za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo.
Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni Soma Zaidi...
Ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha hii ni chanjo wanayopewa watoto wadogo chini ya miaka mitano kwa lengo la kuzuia kuharisha chanjo hiyo kwa kitaalamu huitwa Rotarix. Soma Zaidi...