Post hii inahusu zaidi namna ya kuwasaidia wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni njia ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo
Namna ya kuwasaidia wagonjwa waliopata madonda ya tumbo,
1. Kupunguza maumivu kwa kuwapatia dawa za kupunguza maumivu lakini wasipewe asprini , kabla ya kumpa dawa inabidi kuwasiliana na daktari.
2. Kuwashauri wapunguze wasiwasi na mawazo, katika kufanya hivyo tunapunguza kuzalisha kiasi Cha acidi kwenye tumbo.
3. Kuwapatia chakula muhimu kwa ajili ya wagonjwa wa vidonda vya tumbo, ni pamoja na kuacha kutumia vyakula vyenye acidi.
4. Hakikisha unaangalia dalili za hatari kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni pamoja na kuangalia msukumo wa damu, joto la mwili, mapigo ya moyo, na upumuaji,
5. Kama Kuna dalili za kuzimia, msaidie mgonjwa Ili aweze kupatiwa mazingira kufaa na kama hewa haitoshi mpatie gasi ya oksijeni.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri tumboni, haya ni madhara ambayo utokea kwa sababu ya chakula kushindwa kumengenywa vizuri tumboni.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa pua kama mojawapo ya mlango wa fahamu.pua ni mlango wa fahamu ambao uhusika na kupumua.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi michubuko ambayo mara nyingi utokea kwa watoto wakati wa kuzaliwa,na mara nyingi uweza kupona baada ya masaa ishilini na manne au ndani ya masaa ishilini na manne.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea Mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi umuhimu wa uterusi, ni mfuko unayosaidia kumtunza mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia, hii ni chanjo inayozuia hasa hasa Magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo nayo upewa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sehemu ambazo zinapaswa kudungwa chanjo, hizi ni sehemu zile zilizopendekezwa kwa ajili ya kuchoma chanjo kwa kadiri ya kazi ya chanjo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Soma Zaidi...