Faida za kula Nanasi
Nanasi ni katika matunda matamu lakini mazuri pia kiafya, je unazijuwa faida zake kiafya
2.Nanasi (pineplea)
Hili ni katika matunda yanayopatika na sana kwenye uoto wa kitropik. Tunda hili ni katika matunda yenye virutubisho vingi kuliko matunda mengi sana yanayopatikana katika maeneo yenye uoto huu. Kwa mfano kikombe kimoja cha nanasi (mililita 237) kinatosheleza uhitaji wa mwili wa vitamini C kwa siku nzima na asilimia 76 ya madini ya manganese.
Nanasi pia lina bromelain huu ni mchanganyiko wa enzymes ambayo inajulikana kwa kudhibiti uvimbe na kuwa na uwezo wa kumengβenya protini mwilini. Tafiti nyingi za kisayansi zimeonesha kuwa bromelain husaidia kuzuia mwili kupata maradhi ya saratani na uvimbe amao ni katika viashiria vya saratani.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Madrasa kiganjani π2 kitabu cha Simulizi π3 web hosting π4 Kitabu cha Afya π5 ai web app π6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za viazi vitamu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula viazi vitamin
Soma Zaidi...Faida za kula kabichi
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kabichi
Soma Zaidi...Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Vijuwe vyakula vya kyongeza nguvu za kiume na mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Fahamu tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari
Post hii inahusu zaidi tiba ya lishe ya ugonjwa wa kisukari ni tiba ambayo utumiwa sana na wagonjwa wa kisukari na walio wengi na wamefanikiwa kupona
Soma Zaidi...