Faida za kula Zabibu (grape)
faida za kula tunda zabibu kwa ajili ya afya yako
1.Zabibu (grapefruit).
Hili ni tunda ambalo lina historia kubwa kwenye maisha ya wanaadamu. Tunda hili linaweza kupatikana maeneo mengi duniani. Zabibu ni moja kati ya matunda yanayotambulika kuwa na mchango mkubwa katika kuboresha Afya ya mwanadamu tka zamani sana.
Zabibu linatambuliwa kuwa ni chanzo kizuri sana cha vitamini na madini kwenye miili yetu. zabibu ni katika matunda ambayo yana vitamini kwa wingi kuliko mengi katika matunda ambayo tunayala. Itambulike kuwa vitamini na madini ni katika virutubisho muhimu vinavyofanya mwili wako kuwa madhubuti na afya njema sikuzote.
Tunda hili pia hitambulika kuwa na uwezo mkubwa wa kusaidia kupunguza uzito wenye madhara mwilini mwako. Itambulike kuwa uzito ukizidi mwilini kuna matatizo mengi ya kiafya unaweza ukayapata kama kupata maradhi ya kisukari na shinikizo la damu. Hivyo tunda hili husaidia katika kupunguza uzito mwilini mwako. Ni vyema ukala tunda hili kabla ya kula chochote.
Tunda hili pia linatambulika kuwa na uwezo wa kusaidia kuweka madhubuti insulini iwe katika hali ya kawaidi. Itambulike kuwa insulin ikisumbua huweza kusababisha ugonjwa wa kisukari. Pia tunda hili husaidia katika kudhibiti afya ya figo. Kwa mfano zabibu hupunguza hatari za kupata maradhi ya figo yanayoitwa kidney stone yaani vijiwe vinavyokaa kwenye figo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 kitabu cha Simulizi 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Tafasiri ya Riyadh Swalihina
Post zinazofanana:
Sababu zinazoweza kusababisha kukosa choo (kinyesi)
Kukosa choo aina ya kinyesi ni kutoweza kudhibiti kinyesi, hivyo kusababisha kinyesi kuvuja bila kutarajiwa kutoka kwenye puru. Pia huitwa kutoweza kudhibiti utumbo, Upungufu wa kinyesi hutoka kwa kuvuja mara kwa mara kwa kinyesi huku ukipitisha gesi had
Soma Zaidi...Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Zijuwe dawa za kuongeza nguvu za kiume, na vyakula salama vya kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...vitamini B na makundi yake
Makala hii inakwenda kukuletea kazi za vitamini B, pia tutajwenda kuona makundi ya vitamini B na kazi za kila kundi. Pia makala hii inakwenda kukufundisha vyanzo na vyakula vya vitamini B. Utajifunza pia kazi kuu za vitamini B kw
Soma Zaidi...Asili ya Madini ya shaba
Posti hii inahusu zaidi asili ya madini ya Shaba, ni sehemu ambapo madini ya Shaba yanaweza kupatikana ni katika mimea na wanyama
Soma Zaidi...Upungufu wa vitamin C mwilini
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...Fahamu vyakula vya nyuzinyuzi
Posti hii moja kwa moja inaenda kuelezea vyakula vya nyuzinyuzi zinazopatikana kwenye matunda na mboga mboga.
Soma Zaidi...