Uandishi wa hadithi wakati wa mtume (s.a.w)

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

  1. SUNNAH NA HADITH 

     6.1 Uandishi wa Hadith za Mtume (s.a.w).

I. Uandishi wa Hadith wakati wa Mtume (s.a.w).

          -    Hapakuwa na uandishi mkubwa wa Hadith wakati wa Mtume (s.a.w) kwa sababu zifuatazo;

  1. Mtume (s.a.w) mwenyewe alikuwepo, hivyo walimfuata kupata maelekezo yake na kuiga mwenendo wake.

 

  1. Kipindi hicho maswahaba walijishughulisha sana na uandishi, uifadhi na utekelezaji wa mafundisho wa Qur’an katika maisha yao yote.

 

  1. Mwanzo, Mtume (s.a.w) aliwakataza maswahaba wake kuandika Hadith ili wasijekuchanganya na aya za Qur’an.

- Lakini hata alipowaruhusu hawakujishughulisha kuandika Hadith tena,  

   kwani walizoea kutoandika.

 

  1. Kipindi hicho, Mtume (s.a.w) na maswahaba walijishughulisha zaidi katika kuusimamisha Uislamu na kuuhami na maadui.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Jifunze Main: Dini File: Download PDF Views 3737

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Kitabu cha Afya    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Bongolite - Game zone - Play free game    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Dua za Mitume na Manabii   

Post zinazofanana:

Uchambuzi wa hadithi za mtume

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...
jamii somo la 35

Hutekeleza ahadi zao wanapoahidiana na wanaadamu wenziwao maadamu ni katika mipaka ya Allah (s.

Soma Zaidi...
Zoezi

Maswali mbalimbali yanayohusu elimu ya dini ya kiislamu na mwongozo wa elimu na elimu mazingira.

Soma Zaidi...