1. Nukuu aya ya Qur-an au tafsiri yake inayotufahamisha lengo la kuletwa binaadamu hapa ulimwenguni.
2. โ(Wakumbushe) wakati Mola wako alipowaambia Malaika, โMimi nitaleta khalifa katika ardhi...โ (2:30) Kwa mnasaba wa aya hii khalifa ni .
3. โMwenyezi Mungu amewaahidi wale walioamini miongoni mwenu na kufanya vitendo vizuri kuwa atawafanya makhalifa katika ardhi kama alivyowafanya makhalifa wale waliokuweko kabla yao, na kwa yakini atawasimamishia dini yao aliyowapendelea na atawabadilishia amani baada ya hofu yao. Waw e w ananiabudu, haw anishirikishi na chochote...โ (24:55) Kutokana na aya hii tunajifunza yafuatayo:
(i)
(ii)
(iii)
(iv)
4. Waumini wa kweli katika jamii wanadhima ya kufanya yafu atayo:
(i)
(ii)
(iii)
5. Kwanini Waislamu wanalazimika kuusimamisha na kuuhami Uislamu katika jamii? *************************
Umeionaje Makala hii.. ?
ุนููู ุฃูุจูู ุนูุจูุฏู ุงูุฑููุญูู ููู ุนูุจูุฏู ุงูููููู ุจููู ู ูุณูุนููุฏู ุฑูุถููู ุงูููู ุนููููู ููุงูู: ุญูุฏููุซูููุง ุฑูุณูููู ุงูููููู ุตูู ุงููู ุนููู ู ุณูู ...
Soma Zaidi...Waumini wa kweli waliofuzu huhifadhi swala kwa kutekeleza kwa ukamilifu shuruti zote za swala nguzo zote za swala na huswali kama alivyoswali Mtume (s.
Soma Zaidi...