Uhakiki wa hadithi za mtume

Uhakiki wa hadithi za mtume

Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

-    Hadith za Mtume (s.a.w) zilihakikiwa kupitia njia mbili kuu;

  1.  Uhakiki wa Isnad.

-  Ulizingatia na kuchambua msururu wa wapokezi (wasimulizi) wa Hadith  

   kwa kuangalia historia yake, ucha-Mungu wake, tabia yake, n.k.

  1. Uhakiki wa Matin.

-  Ulizingatia usahihi wa Hadith kupitia masharti na vigezo vifuatavyo;

  1. Isipingane na aya za Qur’an.
  2. Isipingane na Hadith nyingine iliyothibitika kuwa ni sahihi.
  3. Isimzulie Mtume (s.a.w) kufanya jambo ambalo ni kinyume na Uislamu.
  4. Isipingane na hakika au uhalisia (fact).
  5. Isipingane na hakika au uhalisia wa kihistoria (historical fact).
  6. Isiwe na maneno ya uwongo ndani yake.
  7. Isiwe inaahidi adhabu kubwa sana kwa kosa dogo sana na kuahidi malipo makubwa sana kwa tendo (amali) dogo sana.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Jifunze Main: Post File: Download PDF Views: 4628

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game     👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Dua za Mitume na Manabii    

Post zinazofanana:

Zoezi la 3

Kipengele hichi kina maswali mbalimbali kuhusiana na dini na mitazamo mbalimbali.

Soma Zaidi...