Kipengele hichi kina maswali mbalimbali kuhusiana na dini na mitazamo mbalimbali.
Zoezi la 3.
(b) Taja makundi ya dini za wanaadamu.
3.“Je! Wanataka dini isiyokuwa ya Mwenyezi Mungu na hali kila kilichomo mbinguni na ardhini kimejisalimisha kwake kipende kisipende………” (3:83).
Kwa kwa kuzingatia aya hii toa mafunzo mawili (2) yanayohusiana na Dini.
4.(a) Toa maana mbili za neno “Islam”
(b) Nani muislamu?
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?