Ni ipi haki ya mwanamke kwenye mirathi endapo atafiwa na mume wake, ilihali yeye ni mke wa pili?
🕋 Swali:
swali langu nikwamba Mimi nimeolewa make wa pili nimeishi ndaniya ndoa miaka 22 mume akafikwa na mauti je ninahaki ya kupata mirathi?🕋
👉Jibu
🕋🕋Katika uislamu mirathi ni haki ya wenye kurithi. Na inatakiwa mirathivigawanywe haraka iwezekanapo baada ya kumaliza mazishi.
👉 warithi wa marehemu ni pamoja na watoto, wakr, na wazazi wake yaani baba na mama. Endapo hawa watakosekana sheria itaangaliwa mpaka wapatikane wa kurithi.
👉 Bila ya kujali marehemu ana watoto wangapi na wake wangapi. Kila mmoja anatakiwa apate hakivyake yavkurithi maadamvyupo kwenue sheria.
👉 Hatavkama mke ameishi na mumewe kwa muda wa siku moja, basi anatakiwa apate mirathi. Mirathi pia itahusisha mtoto aliyeko tumboni yaani mimba.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Swala husimama kwa kuhifadhiwa na kuswaliwa kwa khushui na kudumu na swala katika maisha yote.
Soma Zaidi...Sunnah na hadithi (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Haya ni matukio ya kihistoria yanayoamiika kutokea ndani ya masiku 10 ya Mfunguo tatu.
Soma Zaidi...QURANI KATIKA ZAMA ZA SAYANSI NA TEKNOLOJIAAsalaalaamu alykum warahmatullah wabarakaatuh.
Soma Zaidi...