Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga.
Hasara za magonjwa ya ngono
1. Usababisha ugumba, magonjwa haya yasipotibiwa mapema wadudu ushambulia via vya uzazi na kusababisha ugumba
2. Usababisha Kansa ya kizazi.Hali hii utokea pale ambapo, maambukizi usambaa kwenye via vya uzazi na kutengeneza seli zisizotarajiwa na kuleta Kansa
3. Usababisha kutoka kwa uchafu mbaya wenye harufu kali inayotisha kwa watu waliotuzunguka na kwa mgonjwa mwenyewe
4.usababisha via vya uzazi kuharibika na mgonjwa uanza kukojoa damu na usaha
5, usababisha kifo, mgonjwa asipotibiwa haraka anaweza kupoteza maisha.
Kwa hiyo tunapaswa kuwalinda na kuwasaidia wagonjwa wetu ikiwa wamepatwa na ugonjwa huo, tusiwanyanyapae.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa fizi ambapo fizi huweza kuwa na maumivu, kuambukizwa, kuvuja damu kwenye fizi na Vidonda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna ya kumsafisha mgonjwa kinywa,ni njia unazopaswa kufuata wakati unamsafisha mgonjwa kinywa hasa wale walio mahututi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kushiriki-ngono-na-mtu-aliye-na-vvu-na-ukimwi
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa walio na majeraha ya macho kutokana na aina mbalimbali ya jeraha
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu kazi za vitamin B na makundi take
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi malengo ya kusafisha vidonda, kwa sababu Kuna watu wengine huwa wanajiuliza kwa nini nisafishe kidonda hospitalini au kwenye kituo chochote Cha afya, yafuatayo ni majibu ya kwa Nini nisafishe kidonda.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na kwikwi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye mwili
Soma Zaidi...