Mambo yanayoweza kudhoofisha kinga ya mwili
Kinga ya mwili inapodhoofu mwili unakuwa hatarini kupata maradhi. Je unayajuwa mambo yanayodhoofisha kinga ysbmeili?
Hapa niakuorodheshea tu baadhi ya mambo ambayo huchangia kudhoofisha kinga ya mwili wako: -
1. Maradhi kwa mfano saratani, VVU na UKIMWI kisukari na hemophilia. Maradhi hayabhuchangia sana kudhoofisha kinga ya mwili
2. Matumizi ya baadhi ya dawa. Kwa mfano endapo utatumia dawa kiholela bila ya kufuata maelekezo kutoka kwa wataalamu. Ama kuna aina flani za dawa zinapotumika hudhoofisha kinga ya mwili.
Kwa nfano immune suppressor dawa hizi hupewa watu ambao wamebadilishiwa viungo vyao na kupewa vya watu wengine.
3. Umri, kinga yabmeili pia huenda na na umri. Kwa mfano mtoto anapozaliwa anakuwa na kinga dhaifu ya mwili. Pia wazee sana kinga zao za mwili huwa dhaifu kulinganisha na vijana.
5. Lishe na vyakula. Vyakula vina nafasi kubwa katika kulinda afya ya mtu. Hata katika hali ya kawaida utaona mtu asiyekula vizuri yupo hatarini. Tunaposema kula vizuri haimaanishi kushiba inamaanisha kula chakula chenye virutubisho.
Kila aina ya chakula ina virutubisho vyake na kila virutubisho vina kazi yake. Endapo utakosea virutubisho fulani inaweza ku athiri kinga ya mtu. Kwa mfano vyakula vya vitamini hulinda mwili dhidi ya maradhi. Hivyo ukivikosa inaweza athiri afya.
6. Misongo ya mawazo (stress and depression). Ni kweli kabisa msongo wa mawazo unadhoofisha kinga yabmeili wako. Ni rahisi kupata mashambulizi ya maradhi ukiwa katika hali ya misingi ya mawazo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitau cha Fiqh 👉2 web hosting 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Malengo ya kutibu ukoma
Posti hii inahusu zaidi malengo ya kutibu ukoma, ni malengo ambayo yamewekwa na wizara ya afya ili kuweza kutokomeza ukoma kwenye jamii
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA ALIYEKUNYWA SUMU
Maisha ya mtu yanaweza kuwa hatarini ama kupotea mara moja baada ya kunywa sumu.
Soma Zaidi...Umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Post hii inahusu umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha. Ni hatua ya kupima Mama akiwa mjamzito na wakati wa kunyonyesha ili kuepuka hatari ya kumwambikiza mtoto
Soma Zaidi...Zijue sababu za kupoteza fahamu.
Posti hii inahusu zaidi sababu za kupoteza fahamu, ni sababu ambazo umfanya mtu kupoteza fahamu kwa sababu mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa wagonjwa
Soma Zaidi...