Posti hii inahusu zaidi athari za mkojo mwilini, kwa kawaida tunafahamu kwamba mkojo ni matokeo ya mkusanyiko wa uchafu wa maji maji yanayokusanyika kutoka mwilini ikiwa mkojo umebaki mwilini usababisha madhara mbalimbali kama tutakavyoona.
1. Kitendo cha mkojo kubaki mwilini ninmatokeo ya Figo kushindwa kufanya kazi kwa hiyo mkojo ujaa kwenye damu, yaani ni kama vile umejikojolea kwenye damu, kwa hiyo uchafu wote ukaa mwilini na kuchanganyikana na damu hali inayopelekea mwili mzima kujaa mkojo.
2. Hali hii ya mkojo kujaa kila sehemu kwenye damu usababisha kuhathiri kila kiungo kwenye mwili, kwa sababu damu ikisafiri usafiri na mkojo kwa hiyo viungo vyote uathiriwa kama vile moyo, ubongo, tumbo na sehemu zote za mwili ambapo damu upita uathiriwa na Sumu ya mkojo.
3. Kwa hiyo kila kiungo cha mwili ujaa maji, yaani kuvimba, utakuta miguu imevimba macho yamevimba, tumbo limejaa maji,na pia mapafu nayo ujaa maji hali inayosababisha mwili wa mgonjwa kuwa na hali mbaya zaidi, pia mgonjwa huwa na kichefuchefu kwa sababu ya mwili kujaa maji na kwa wakati mwingine kutapika damu.
4. Kwa hiyo mgonjwa hasipopota matibabu mapema anaweza kufikia pabaya , baada ya kuona dalili kama hizi ni vizuri kabisa kuwahi hospital Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali ambayo yanaweza kutokea.
5. Na pia ni vizuri kuanza mahudhulio kwenye kuosha Figo kwa sababu pamoja na dawa ndiyo njia pekee ya kuondoa Sumu ya mkojo kwenye damu.
6. Pamoja na hayo no vizuri kabisa kutumia maji mengi kabla haujaugua pamoja na kujiepusha na vyakula vya kemikali ambavyo ndicho chanzo cha kuwepo kwa ugonjwa wa Figo ni vizuri kabisa kulinda afya zetu kwa sababu gharama ya kuosha Figo ni kubwa mno ambayo ni Wachache wanaweza kupata.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi faida za seli. Seli ni chembechembe hai za mwili ambazo hufanya kazi mbalimbali katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi faida za tumbo,tumbo ni sehemu ya mwili ambayo ushughilika na kutunza chakula,
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa mifupa mwilini, mifupa ni mojawapo ya tushy zilizounganika na ufanya kazi kubwa kwenye mwili.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyekunywa sumu
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi mabadiliko katika umri wa kubarehe kwa wsichana, ni kipindi ambacho watoto huelekea ujana, utokea Kati ya miaka kuanzia Kumi na kuendelea.
Soma Zaidi...