Vipimo vya kuchunguza kama una asidi nyingi tumboni
Posti hii inahusu zaidi vipimo vya kuchunguza kama una kiwango kikubwa cha asidi au tindikali tumboni
Vipimo vya kuchunguza kama una asili au tindikali nyingi tumboni.
1. Kama tunavyofahamu kwamba kwenye tumbo kuna asidi au tindikali ambayo inafanya kazi ya mmeng'enyo wa chakula.ila kuna kipindi inaongezeka na kuleta madhara kama vile kiungulia.
2. Kuna vipimo mbalimbali ambavyo utumika kuangalia kiwango cha asidi mwilini ambayo imezidi.
3. Kipimo cha kwanza ni kioo au x- ray kwa lugha ya kitaalamu ambapo kimiminika na kumezwa ili kuweza kutambua kiwango cha asidi mwilini wakati wa kupigwa kioo.
4. Kipimo kingine ni endoscopy.
Ni kama kamera fulani ambayo uwekwa kwenye sherehe za tumbo na picha yote ya kwenye tumbo uoneshwa kwenye screen
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Kitabu cha Afya 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Hizi ni kazi za mapafu mwilini
Makala hii itakwenda kukufundisha kazi 5 za maafu mwilimi. Wengi tunajuwa tu kuwa mapafu yanafanya kazi ya kupumuwa. ila si hivyo tu yapo mengi zaidi.
Soma Zaidi...Ratiba ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii
Soma Zaidi...Kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya kazi ya protin na vyakula vya protini mwilini
Soma Zaidi...Kazi ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.
Soma Zaidi...