Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
Mambo yanayopunguza nguvu za kiume
1.Kupiga punyeto
2.Kuwa na misongo ya mawazo
3.Kuwa na uwoga wakati wa kushiriki tendo
4.Matumizi ya vidonge vya kuongeza nguvu za kiume
5.Kuwa na maradhi kama kisukari na presha ya kupanda
6.Umri
7.Vyakula
8.Kutofanya mazoezi
Njia za kuongeza nguvu za kiume
1.Badili mfumo wa vyakula vyakula salama kwa nguvu za kiume.
2.Fanya mazoezi ya mara kwa mara
3.Punguza mishongo ya mawazo
4.Jiamini unapoliendea tendo
5.Kama unatumia vidonge vya kuongeza nguvu za kiume, jaribu kupunguza matumizi ama kuacha
6.Wacha kujichuwa ama punguza
7.Jitahidi kudhibito kisukari ama presha ya kpanda.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 ai web app 👉4 Simulizi za Hadithi Audio 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Soma Zaidi...Vyakula vya kuongeza nguvu za kiume
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Mbinu za kuondoa sumu mwilini.
Posti hii inahusu zaidi mbinu za kuondoa sumu mwilini, ni njia mbalimbali ambazo uweza kutumika ili kuondoa sumu mwilini.
Soma Zaidi...Utaratibu wa lishe kwa watoto
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu utaratibu wa lishe kwa watoto
Soma Zaidi...Roghage/ vyakula vya kambakamba
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za vyakula vya roghage
Soma Zaidi...