Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu inayotumiwa kwa ajili ya kusikia, Kuna wakati mwingine hushambulia na bakteria na virusi
Dalili za maambukizi ndani ya sikio
1. Sikio kuuuma sana
2. Kichwa kuuuma
3 kutoka na usaha kwenye sikio
4. Kutisikia vizuri
Walio katika hatari ya kupata ugonjwa huu ni wafuatao.
1.watoto wadogo
2. Wazeee
3. Walio na kinga ndogo ya mwili
4. Wanapenda kuogelea kwenye maji ya ziwa au bahari
Namna ya kutibu ugonjwa huuu ni pamoja na.
1. Kuisha masikio mara kwa mara
2. Kutotumia vifaa vya Julia kwa mtu zaidi ya mmoja
3.walinde watoto wakati wanapokuwa wanacheza
4. Siku zote piga chafya kwenye kitambaa safi
Pamoja na kuwepo kwa ugonjwa huu dawa zipo na zinatibu kwa hiyo tunapaswa kuwapeleka wagonjwa wetu hospitalini Ili watibiwe tusiwafiche ndani
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
NENO LA AWALI Hapa utaweza kujifunza mambo mengi kuhusu vidonda vyatumbo.
Soma Zaidi...joto la mwili wako linapungua, moyo wako, mfumo wa neva na viungo vingine haviwezi kufanya kazi kwa kawaida. Isipopotibiwa, Hypothermia hatimaye inaweza kusababisha moyo wako na mfumo wa upumuaji kushindwa kabisa na hata kifo.
Soma Zaidi...Naomba kuuliza swaliJe mtu anaweza kushiriki mapenzi na mtu mwenye maambukizi ya ukimwi pasipo kuambukizwa?
Soma Zaidi...Kipindupindu ni ugonjwa wa bakteria ambao kawaida huenezwa kupitia maji machafu. Kipindupindu husababisha Kuhara na Upungufu wa maji mwilini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia sehemu yenye maumivu, hili kugundua mahali mtu anaumia ushirikiano mkubwa unahitajika kati ya mgonjwa na mhudumu.
Soma Zaidi...Maumivu ya magoti ni malalamiko ya kawaida ambayo huathiri watu wa umri wote. Maumivu ya goti yanaweza kuwa matokeo ya jeraha, kama vile ligament iliyopasuka au cartilage iliyochanika.
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye mfumo wa mkojo ambapo kitaalamu hujulikana Kama UTI(Urinary Tract Infection (UTI)) hufafanuliwa kuwa ni maambukizo ya mfumo wa uzazi ambayo yanahusisha urethra. UTI ni maambukizi ya mfumo wa mkojo, m
Soma Zaidi...