Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo
Sababu zinazopelekea kupata ugonjwa wa degedege
1.Malaria kali
2.kushindwa kwa kulegea kwa misuli
3.pengine sababu ya magonjwa ya kuurithi
4.homa kali
Madhara ya ugonjwa wa degedege ni pamoja na
1.kupata ulemavu wa kudumu
2.kulemaaa kwa ulimi kwa sababu mgonjwa huwa anaungata
3.kuua seli za ubongo
Namna ya kuepuka degedege
1. Kwenda hospital mara moja pindi unapoona dalili.
2. Kuhudhulia kliniki hasa watoto chini ya miaka mitano
3. Kutibiwa malaria mara usikiapo dalili
4. Kupunguza Homa
Pamoja na kuwepo kwa ugonjwa huu tujue kuwa unatibika Kuna madawa yanayotibu ugonjwa huu, kwa hiyo tusiwafiche ndani wagonjwa wetu tuwapeleke hospitalini watibiwe
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke.
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Maambukizi kwenye mfupa ambao kitaalamu hujulikana Kama
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivuvya tumbo chini ya kitovu upande wa kushito. Post hii itakuletea sababu za maukivubhayo na nini ufanye.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye liski ya kupata magonjwa ya ngono, ni watu wanaofanya mambo yanayosababisha kupata magonjwa ya ngono.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina za kansa, Kansa ni Aina ya ugonjwa unaosababishwa na kuzaliana kwa seli ambazo sio za kawaida.
Soma Zaidi...Baada ya kujifungua mwili wa mwanamke huwa na mabadiliko tofauti na siku za nyuma. Kwa mfano hatapatavtena hedhi, hatoweza kupata ujauzito kwa muda wa mwezi ama zaidi. Endelea na post hii ujifunze zaidi
Soma Zaidi...Makala hii itaeleza dalili za ukimwi, dalili za VVU, magonjwa nyemelezi na matumizi ya ARV
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha matatizo yanayosababisha saratani ya mapafu .
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za hatari kwa mtoto aliyezaliwa, ni dalili ambazo ujitokeza tu mtoto anapozaliwa kwa hiyo dalili hizi zinapaswa kuzuiwa ili zisilete madhara makubwa.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukufahamishavkuhusu saratani yavkibifu cha mkojo.
Soma Zaidi...