Anataka kujuwa dalili za awali za kujuwa kuwa umeathirika na UKIMWI
Habari za leo ndugu zangu mimi ni (Jina limehifadhiwa) ninataka kujua ni dalili zipi hasa za awali zinazoashiria umeambukizwa ukimwi.
Jibu
Ni vizuri kwanza upate vipimo, ama uonane na mhudumu wa afya upate kujifunza kuhusu afya yako.
Dalili za awali za kuambukizwa virusi vya ukimwi zinafanana na dalili ya maradhi mengineyo hivyo unawwza kuona dalili hizi kumbe ni maradhi mengine tu.
Dalili za awali ni kama:
1. Maumivu ya kichwa
2. Kuvimba kwa tezi za kwapa, mtoki na shingoni
3. Mafua na homa
4. Kupatwa na vipele
5. Uchovu wa mwili
Dalili hizi hutokea wiki ya pili hadi ya sita toka kuambukizwa na hazitarudi tena baada ya hapo. Kama utakuwa umeambukizwa virusi vitaendeleabkuathiri kinga ya mwili kimya kimya bila ya kuonyesha dalili yeyote kwa muda wa miaka kadhaa.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowPosti hii inahusu zaidi madhara ya Tiba homoni, ni madhara- ambayo utokea kwa mgonjwa anayetumia homoni kama Tiba kwenye kutibu saratani.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Saratani ya Koo inarejelea Vivimbe vya Saratani vinavyotokea kwenye koo lako (koromeo), sanduku la sauti (larynx) au tonsils.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha namna ya kujizuia,Mambo ya Hatari,na na Mambo yanayopelekea Ugonjwa wa ukosefu wa mkojo
Soma Zaidi...Tambuwa kiungulia, sababu zake, dawa za kiungulia na namna ya kupambana na kiungulia
Soma Zaidi...Huu ni ugonjwa wa fangasi wanaosababishwa na mashambulizi ya fangani aia ya yeast waitwao candida.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia ambazo UKIMWI hutokea
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili,sababu za Hatari,na namna ya kujizuia na fangasi wa kucha.
Soma Zaidi...Posti hii inaonyesha Dalili na ishara za kuvimba kope ambayo kitaalamu hujulikana Kama blepharitis.
Soma Zaidi...