Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake

Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake

Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake.

Jiunge nasi WhatsApp
Upate Update zetu

Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake

Uasi katika dola ya kiislamu na matokeo yake.


Kama tulivyokwisha kuona kuwa historia ya Waasi ilianza zamani toka wakati mtume akiwa hai akipambana na mayahudi, manasara, na makafiri wakishirikiana na kundi la wanafiki. Katika kurasa zijazo tutekwenda kuona jinsi uasi huu ulivyotokea, nini hasa chimbuko lake na wapi walikuwa ni wahusika zaidi.


Uasi huu uliweza kusababisha umwagaji wa damu za Waislamu. Uasi huu pia ulipelekea upotevu wa mali na haki katika jamii iliyokuwa na misingi thabiti na imara iliyoachwa na Mtume wa Allah.


Uasi huu ulipeleke matokea mabaya kama:


1. Vita vya enyewe kwa wenyewe


2. kuuliwa kwa makhalifa


3. Haki kutotekelezwa


4. Kuanzishwa kwa tawala za Kifalme na kathalika





                   


Download Post hii hapa

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 750

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Kitabu cha Afya    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 kitabu cha Simulizi    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana: