Upinzani Dhidi ya Dola ya Kiislamu Wakati wa Makhalifa
Katika kipindi cha Makhalifa wanne wa Mtume (s.a.w), maadui wa Dola ya Kiislamu ni wale wale waliokabiliana na Mtume na kuainishwa katika Qur-an japo walitofautiana kimbinu kulingana na mazingira. Maadui wakubwa walioainishwa katika Qur-an ni:
(i) Adui mkubwa β Sheitwaan (katika Majini na Watu) anayepambana kwa kuishawishi na kuipambia nafsi ya mtu ili imuasi Mola wake.
(ii) Makafiri na Washirikina β Wanaotaka mifumo yao ya maisha iwe juu ya Uislamu.
(iii) Wanafiki β wanaotaka kuishi maisha ya mseto baina ya Uislamu na ukafiri kwa ajili ya maslahi ya dunia.
(iv)Mayahudi - husuda na chuki yao dhidi ya Uislamu ilibainika tangu wakati wa Mtume(s.a.w) - kwa ajili ya kuipenda dunia kuliko akhera.
(v) Wakristo wanachuki na husuda dhidi ya Uislamu kama Mayahudi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Kuanzishwa kwa Dola ya Kiislamu Madinah.
Soma Zaidi...Kama Mitume waliotangulia, Nabii Salih(a.
Soma Zaidi...KULELEWA NA BABA YAKE MDOGOBaada ya kufariki kwa mzee huyu, kiongozi mkubwa wa maquraysh na makkah, kiongozi ambaye jeshi la Abrah liliangamizwa ndani ya utawala wake.
Soma Zaidi...Sura na historia ya Mtume Muhammad S.A.W sehemu ya 8. Hapa utajifunza malezi ya Mtume kutokakwa Halimavkuja kwa mama yake.
Soma Zaidi...Amesema mtume (s.a.w) kuwa Allah (s.w) amesema: kila amali ya mwanaadamu ni kwa ajili yake isipokuwa funga.
Soma Zaidi...Dhulqarnain sio jina la mtu bali cheo, maana yake ikiwa: βMwenye Pembe Mbiliβ.
Soma Zaidi...