Wanaowajibika kuhijji

Wanaowajibika kuhijji

Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

-    Waislamu wenye sifa zifuatazo wanalazimika kuhiji;

  1. Waliobaleghe – Watoto wadogo hawawajibiki kuhiji hata kama wana uwezo, 

                    hata hivyo wanaruhusiwa chini ya uangalizi wa wazazi wao.                

  1. Wenye Akili timamu –  Asiye na akili timamu hawajibikiwi kwa ibada yeyote

                        ile katika Uislamu.

 

  1. Waungwana –  Wafungwa au watumwa hawawajibiki kwa Hijja mkapa

                  watakapokuwa huru.

 

  1. Wenye uwezo – Waislamu wote wenye uwezo kimali na afya njema ni wajibu 

                      kutekeleza ibada ya Hijjah.

 

  1. Wasio katika kizuizi – Waliowekewa kizuizi au kuzuiliwa kwa sababu za

                        kiusalama sio wajibu kwao kuhiji muda huo.

 

  1.    Wanawake waongozane na maharimu wao. 
    • Mwanamke mwenye uwezo atawajibika kuhiji iwapo ataongozana na

      maharimu wake.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Fiqh Main: Post File: Download PDF Views: 2396

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Dua za Mitume na Manabii     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya     👉5 Kitau cha Fiqh     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

MALI ZISIZORUHUSIWA KUTOLEWA ZAKA

*Suala la kumilikiwa binaadam (utumwa), japokuwa linaendelea kutajwa kwenye Sharia (katika vitabu), ni suala ambalo haliko.

Soma Zaidi...
Nini maana ya kusimamisha swala

Post hii inakwenda kukufundisha maana ya kusimamisha swala kama inavyotumika kisheria.

Soma Zaidi...
Kumkafini (kumvisha sanda maiti)

Mambo ya faradh kwa maiti ya muislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Soma Zaidi...