Post hii inahusu dawa za kutuliza kifafa, zipo dawa mbalimbali za kutuliza kifafa Leo tutaona dawa mojawapo inayoitwa phenobarbital katika kutuliza kifafa.
1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba Kuna dawa mbalimbali za kutuliza kifafa, Leo tutaona dawa hii ya phenobarbitone kaka kutuliza kifafa, tunavyofahamu kwamba dawa hii ya phenobarbitone ndiyo dawa ambayo inatumika sana kwa watu wazima na watoto pia.
2. Dawa hii ya phenobarbitone inawezekana kabisa kupitia kwenye mishipa ya damu na pia kwenye matako au paja , pia dawa hii dozi yake huwa ni mara Moja hasa utumika wakati wa usiku lakini utumika zaidi kulingana na utaratibu wa wataalamu wa afya na kadri ya hali ya mgonjwa.
3. Dozi ya dawa ya phenobarbitone utegemea na umri pamoja na Uzito,kwa upande wa watoto upewa milligrams kuanzia tatu mpaka tano , kwa upande wa watu wazima milligrams uanzia sitini mpaka mia themanini, kama dawa inapirishiwa kwenye mishipa ya damu dawa hii uchanganywa na maji maalumu ambayo Kwa kitaamu huiitwa water for injection.
4. Pia dawa hii utumiwa na watu mbalimbali ila kwa wale wenye aleji na dawa hii hawapaswi kabisa kuitumia na vile dawa hii uingiliana na dawa nyingine kama vile warfarin, carbamazepine ,dawa za uzazi wa mpango na vidonge vya folic acid, kwa hiyo kwa watumiaji wa dawa hizi ni vizuri kabisa kuwaona wataalamu wa afya kabla ya kutumia phenobarbitone.
5. Dawa hii pia Ina maudhi madogo madogo kwa watumiaji ambayo ni pamoja na mapigo ya moyo kuwa chini, kupumua kwa shida,na pia upungufu wa damu, na katika kutumia dawa hii kwa watumiaji wanapaswa kuitumia kwa utaratibu wa wataalamu wa afya sio kutumia dawa hii kiholela.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dawa aina ya ketoconazole ni dawa inayotumika kutibu fangasi za kwenye koo.
Soma Zaidi...kama unasumbuliwa na fangasi uumeni, nitakujuza dawa yake, sababu za fangasi uumeni, matibabu yake na njia za kuwaepuka
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi kundi la diuretics,ni kundi mojawapo kati ya makundi ya dawa zinazosaidia katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali ambazo uchangia katika kupunguza nguvu za kiume , hii ni kwa sababu ya wataalamu mbalimbali wanavyosema
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Utaijuwa Dawa ya maumivu ya jino, sababu za maumivu ya jino na njia za kujikinga na maumivu ya jino
Soma Zaidi...