dalili za mimba zinaweza kuwa na mkanganyiko kwani zinafanana na shida nyingine za kiafya. Hali hii utaigunduwa endapo utakuwa na dalili za mimba lakini kila ukipima hakuna mimba.
Swali:
Endapo nina dalili za mimba na nikipima sina mimba, je, tatizo ni nini?
Jibu:
Endapo una dalili za mimba lakini ukipima hakuna kitu huwenda utakuwa unasumbuliwa na moja kati ya yafuatayo:-
1. Endapo mimba ni changa sana huwenda isionekane kwenye kipimo cha mkojo
2. Endapo una maradhi ya PID unaweza kupata dalili za mimba
3. Kukosa hedhi pekee sio dalili ya mimba inaweza kuwa umekosa kwa sababu nyingine
4. kama una shida kwenye homoni unaweza kupata dalili za mimba lakini usiwe na mimba
5. endapo una uvimbe kwenye kizazi ama shida nyingine za kwenye kizazi unaweza upate dalili za mimba lakini isiwe mimba.
Nini ufanye:
1. Subiri baada ya wiki angalau moja baada ya kupita kwa tarehe zako za hedhi kisha pima tena
2. Fika kituo cha afya kupata vipimo huwenda unasumbuliwa na shida nyingine za kiafya.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye Matiti kwa Mama mjamzito, hali hii utokea pale ambapo mama akibeba mimba Kuna mabadiliko kwenye Matiti kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti inahusu zaidi njia maalum za uzazi wa mpango kwa wanaonyonyesha,Ni njia za uzazi ambazo wanaonyesha wanatumia kwa sababu kuna njia nyingine zikitumiwa na wanaonyonyesha zinaweza kuleta matatizo kwa watoto au kusababisha maziwa kutokuwa na vitamini v
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu.
Soma Zaidi...Hapa utajifunza siku nzuri kushoriki tendo la ndoa kupata ujauzito, dalili za siku hiyo na kuitafuta kwa mahesabu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa.
Soma Zaidi...Jifunze mengi kuhusu Afya, kuwa nasi kwenye makala hii hadi mwisho.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukuletea orodha ya vyakla vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume.
Soma Zaidi...Mdomo kuwa mchungu ni halia mabayo haiashirii ishara mbaya za kiafya. Mdomo unaweza kuwa mchungu kutokana na vyakula. Pia hutokea ikawa ni ishara ya baadhi ya maradhi, ama ni matokeo ya baadhi ya shda za kiafya. Je vipi kuhusu maumivu ya matiti na tumb?
Soma Zaidi...