TIBA ASILI ZITOKANAZO NA VYAKULA

TIBA ASILI ZITOKANAZO NA VYAKULA

UTANGULIZI

"let food be thy medicine and medicine be thy food"

Haya ni maneno ya Kigiriki, kuhusu vyakula. maneno haya yanamaanisha "fanya chakula chako kiwe ni dawa na dawa yako iwe ni chakula chako. Maneno haya yanahamasisha 

matumizi ya vyakula kuwa ni dawa kwetu. Katika makala hii nitakwenda kukujuza baadhi tu ya vyakula na mboga ambazo ni dawa kwa maradhi yetu. Makala hii pia ipo kwenye kitabu chetu. Unaweza kukipata kitabu hiki bure kwenye maktaba yetu.

 

Makala hii i muendelezo wa makala zetu za afya kutoka kwenye kitabu cha matunda na mboga. Tunatarajia msomaji wetu utanufaika zaidi na makala hii.                   Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2018-08-01     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 192


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-