Post hii inahusu zaidi jinsi moyo unavyosukuma damu, moyo ni ogani ambayo usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Jinsi moyo unavyosukuma damu
1.Moyo una sehemu juu nne ambazo ni orikali ya Julia kwa kitaalamu huitwa ( right atrium) na ventrikali ya kulia kwa kitaalamu huitwa (right ventricle)
2.Kazi ya orikali ni kuupokea damu yenye karbonidioksidi kutoka sehemu mbalimbali za mwili na kuisukuma kwenye ventrikali baadae Inapitia kwenye palmonary Aitery mpaka kwenye mapafu kwa ajili ya kukusanya hewa ya oksijeni
3. Kutoka kwenye mapafu Damu upitia katika orikali ya kushoto mpaka kwenye ventrikali ya kushoto mpaka kwenye Aorta baadae inasukumwa kwenye sehemu mbalimbali za mwili
4. Tukumbuke kuwa damu inayotokea kwenye sehemu ya mapafu inakuwa na hewa ya oksijeni ndo maana usukuma damu kwenye sehemu mbalimbali za mwili.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Presha ya kupanda hutokea pale kipimo kinaposoma zaidi ya 120/80mm Hg.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa asidi iliyo kwenye tumbo kwa kitaalamu huitwa HCL, ni asidi inayofanya kazi nyingi hasa wakati wa kumengenya chakula.
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuzuia kiungulia
Soma Zaidi...Posti hii inahusu njia na namna ya kumhudumia aliyeingiwa na nyoka. Nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na mtu akifinywa na nyoka asipohudumiwa anaweza kupata ulemavu au kupoteza maisha
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kupanda
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu mbalimbali za chakula kushindwa kumengenywa kwenye tumbo,ni sababu mbalimbali hasa za kiafya kama tutakavyoona hapo mbeleni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza ya mgonjwa mwenye jeraha la kawaida kwenye ubongo, ni Tiba ambayo utolewa kulingana na dalili za jeraha la kawaida kwenye ubongo kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za upungufu wa vitamini C mwilini
Soma Zaidi...