Historia na sifa ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 14. Hapa utajifunza kuhusu kazi alizozifanya Mtume s.a.w Enzo za ujana wake kabla ya utume.
KAZI ALIZOKUWA AKIFANYA MUHAMMAD (S.A.W) ZA KUMPATIA RIZKI
Muhammad (s.a.w) hakuwaga na shughuli maalumu ya kuweza kumpatika kazi. Kama ilivyokuwa ni desturi ya mitume kuchunga mifugo kama mbuzi na kondoo hivyo hivyo kijana Muhammad (s.a.s) alikuwa akifanya kazi hii. Muhammad (s.a.s) alikuwa akichunga mifugo ya bani Sa’ad kwa malipo maalum.
Pia kijana Muhammad (s.a.s) alikuwa ni mfanya biashara. Aliweza kupata uzoefu wa biashara kutoka kwa Baba yake mdogo Abu Tallib ambaye pia alikuwa ni mfanya biashara.
Alipokuwa na umri wa miaka 25 alisafiri kuwenda Sham (Syria) kwa ajili ya kufanya biashara. Na itambulike kuwa wakazi wa Makwa wakati huo walikuwa ni wafanya biashara wakubwa sana. Matajiri wengi wa Makkah walikuwa wakitegemea biasha. Kutokana na uadilifu, uaminifu na ukweli alokuwa nao kijana Muhammad (s.a.s) Bi Khadija alimtaka akamuuzie biashara zake Syria.
Bi khadija alikuwa ni katika wanawake wafanyabiashara wakubwa Mjini Mkkah. Alikuwa akiajiri wanaume kwa ajili yakufanyiwa biashara zake. Aliposikia sifa za Muhammad (s.a.s) alivutiwa kufanyabiashara nae.
Hivyo akazungumza nae na awalikubaliana kuwa atamlipa zaidi kuliko wenzie. Akamtuma Muhammad (s.a.s) akiwa na mfanyakazi wa bi Khadija aitwaye Maisarah, aliwatuma waende kufanya biashara Syria. Basi Muhammad (s.a.s) alikubali ombi aba safari akaelekea kwenda Sham. Na katika safari hii Bi Khadija aliona miujiza mikubwa sana kwa Muhammad (s.a.s).
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Huko nyuma wapita njia walikisogelea kisima kwa lengo la kuteka maji.
Soma Zaidi...Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Nabii Musa na Harun walikuwa na kazi kubwa mbili; kwanza, kuwakomboa Bani Israil kutokana na dhuluma waliyokuwa wakifanyiwa na Firaun na Serikali yake, na pili, kuwarudisha kwenye nchi yao takatifu ya Palestina.
Soma Zaidi...Sara na historia ya Mtume Muhammad s.a.w, sehemu ya 13. Hapa utajifunza historia ya Mkataba wa al fudhul na makubaliano yake.
Soma Zaidi...Sira na historia ya Mtume Muhammad s.a.w, sehemu ya 17. Historia ya Bi Khadija na familia yake.
Soma Zaidi...(i) Tuanze kulingania kwa Tawhiid – kumjua Allah(s.
Soma Zaidi...