Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kukosa choo
kukosa chooKukosa choo huleta maumivu baada ya kula ama kunywa kitu. Maumivu haya kikawaida yanatokea sehemu ya juu ya tumbo lakini unayahiisi sehemu ya chini kwa upande wa kulia.
Dalilo za kukosa choo:-Tofauti na maumivu haya ya tumbo lakini yanaambatana na dalili zifuatazo:-A.Kiungulia
B.Kujaa tumbo
C.Kushiba mapema
D.Kujuhisi mgonjwa
E.Kucheua gesi mdomoni
F.Kujamba
G.Kucheua chakula ama majimaji machungu
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Homa ni moka ya dalili inayohusiana na maradhi mengi sana. Unaweza kuwa na homa ikawa pia si maradhi kumbe ni stress tu. Je unasumbuliwa na homa za mara kwamara, Makala hii ni kwa ajili yako
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa Brucellosis ni maambukizi ya bakteria ambayo huenea kutoka kwa wanyama hadi kwa watu mara nyingi kupitia maziwa ambayo hayajasafishwa au kuchemshwa vizuri na bidhaa zingine za maziwa. Mara chache zaidi, ba
Soma Zaidi...Post hii inaelezea kuhusiana na Ugonjwa wa kuvimba kwa ubongo ambao kitaalamu huitwa Encephalitis, Ni Maambukizi ya virusi ni sababu ya kawaida ya hali hiyo. Ugonjwa wa Kuvimba ubongo unaweza kusababisha dalili zinazofanana na Homa, kama vileΓΒ HomaΓΒ au
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo yanaweza kuwa ni dalili inayoonyesha tatizo fulani la kiafya ikiwemo magonjwa au majeraha.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za maambukizi ya sikio kwa watoto.
Soma Zaidi...Dalili za HIV na UKIMWI kwenye mdomo na ulimi utaziomna hapa. hizi zinaweza kuwa ndio za kwanza kwa ambaye hajapima HIV
Soma Zaidi...MAGONJWA YA INI NA DALILIZAKE, NA KUKABILIANA NAYO Ini ni katika viungo vikuu katika mwili wa binadamu.
Soma Zaidi...posti hii inahusu dalili za Pua iliyovunjika, pia inaitwa fracture ya pua, ni kuvunjika au kupasuka kwa mfupa katika pua yako
Soma Zaidi...