Dalili za mimba zinaweza kuanzia kuonekana mapema ndani ya wiki ya kwanza, japo sio rahisi nabhakuna uthibitishobwa uhakika juu ya kauli hii. Makala hii itakwebda kujibubswali la msingi la muuulizaji kama maumivu ya tumbo ni dalili ya ujauzito.
SWALI:
Je maumivu juu ya kitovu ni miongoni mwa dalili za mimba?
Jibu:
Ndio inawwza kuwa ni dalili ya ujauzito. Ila itambulike vyema kuwa daliki za ujauzito ninnyingi pia zinaweza kuambatana na maradhi mengine mwilini na ikawa sinujauzito.
Yaani unaweza kuwa na dalili za ujauzito lakini ukipina sionujauzito. Kwa mfano maumivu ya tumbo pekee hayawezi kuthibitisha ujauzito. Maumivu yavtumbo yanaweza kuwa:-
1. PID
2. Typhod
3. Shuda kwenye mfumo wa chakula
4. Chango
5. Henia
6. Shida kwenye kizazi.
Kupata uhakika ni vyema kufika kituo cha afyavkwa uchunguzi zaidi na kupata vipimo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu Zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea Kwa mgonjwa mweye usaha kwenye mapafu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kupambana na fangasi
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutokea kwa maumivu ya jino
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukueleza ni nini hasa hizi figo, na ni yapi maradhi yake na ni kwa namna ggani utaweza kujilinda na maradhi ya figo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata Maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi,ni kutokana na kazi zao pamoja na mazingira yao kwa hiyo wako kwenye hatari ya kupata Ugonjwa wa ukimwi.
Soma Zaidi...