Madonda ya tumbo ni ugonjwa unaotokana na kuwepo kwa vidonda kwenye Koo, tumboni na kwenye utumbo mdogo
Zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa madonda ya tumbo.
Tafiti zinathibitisha kuwa chanzo kikuu cha vidonda vya tumbo ni mashambulizi ya bakteria aina ya Helicobacter pylori (H. pylori) na matumizi ya muda mrefu ya dawa aina ya nonsteroidal anti-inflammatory drugs (NSAIDs) ambazo ni pamoja na ibuprofen (Advil, Motrin IB, n.k) na naproxen sodium (Aleve). Mambo yafuatayo huongeza hali ya hatari kwa mwenye vidoda vya tumbo:-
1. Msongo wa mawazo
2. Kuwepo kwa acidic nyingi kuliko kawaida tumboni
3. Kutokula kwa wakati
4. Kutumia madawa kwa mda mrefu
5. Kutumia vileo vikali na kuvuta sugara kwa mda mrefu.
Aina za madonda ya tumbo
1. Madonda ya tumbo yanayokutwa kohoni
2. Madonda ya tumbo ya kwenye ukuta wa tumbo
3. Madonda ya tumbo kwenye utumbo mdogo
Dalili za madonda ya tumbo
1. Kuhusu maumivu makali tumboni na koooni
2. Kichefuchefu na kitapika
3. Damu kwenye choo
4. Kupunguza uzito
5. Pengine tumbo kukwaruza.
Namna ya kuepuka kupata vidonda vya tumbo
1.kula kwa wakati
2.kupunguza vyakula vyenye acidi
3.kuachana na pombe na madawa makali
4.kupinguza mawazo
Vidonda vya tumbo vinatibika ukiuwahi mapema kwa hiyo kila tusikiapo dalili yoyote tunapaswa kwenda hospitalin kupata dawa Ili kuepuka matatizo zaidi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi visababishi vya maambukizi kwenye milija na, ni mambo yanayosababisha maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukufundisha kuhusu matibabu ya vidonda vyatumbo. Pia utajifunza kwa nini kunakuwa na vidonda vya tumbo sugu.
Soma Zaidi...Hapa nitakueleza namna ambavyounaweza kupunguza hatari ya kupata maradhi ya ini. Kwa njia hizi unaweza kujikina wewe na wengineo na maradhi haya hatari ya ini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa Dengue, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi ila unasambazwa na mbu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine mbu anayasambaza Ugonjwa huu kwa kitaalamu huitwa Aedes mosquito .
Soma Zaidi...Post hii inahusu Zaidi njia mbali mbali ambazo uweza kitumiwa na wataalamu ili kuweza kugundua tatizo la kuwepo Kwa usaha kwenye mapafu.
Soma Zaidi...Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia dalili na namna ya kujikinga tusipate mafua .mafua kwa jina lingine hujulikana Kama baridi ya kawaida (common cold).baridi ya kawaida husababishwa na virusi kwenye pua na hutoa makamasi.
Soma Zaidi...