Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis.
5. Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces
Fangasi wanaojulikana kama Blastomyces, hawa ni fangasi wanaosababisha maradhi yajulikanayo kama blastomycosis. Fangasi hawa wanaishi kwenye mazingira yenye majimaji haswahaswa kwenye udongo ama kwenye maozea kama ya miti au majani. Fangasi hawa tunaweza kuwapata kwa kuvuta hewa ambayo imekusanya fangasi hawa.
Dalili za fangasibhawa:-
- Homa na maumivu vya kichwa
- Kukohoa
- Kutokwa na jasho usiku
- Maumivu ya mivuli na viungio
- Kupoteza uzito
- Maumivu ya kifua
- Uchovu wa hali ya juu sana
Kwa ufupi zipo aina nyingi sana za fangasi, na yapo maradhi mengi sana yasababishwayo na fangasi. Nadhani hapo juu nimekutajia aina maarufu za mangasi ana mago njwa yako. Pia nimekutajia baadhi ya njia za kutumia ili kupambana na fangasi hoa. Sasa nakwenda kukuorodheshea maradhi 7 yatokanayo na fangasi:-
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Simulizi za Hadithi Audio π2 Madrasa kiganjani π3 kitabu cha Simulizi π4 web hosting π5 Kitau cha Fiqh π6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Madhara ya kutotibu ngiri.
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea pale ambapo Ugonjwa wa ngiri unaposhindwa kutibiwa mapema.
Soma Zaidi...Maambukizi ya H.pylori (Vidonda vya tumbo)
Maambukizi ya H. pylori hutokea wakati aina ya bakteria inayoitwa Helicobacter pylori (H. pylori) inapoambukiza tumbo lako. Hii kawaida hutokea wakati wa utoto. Sababu ya kawaida ya Vidonda vya tumbo, maambukizi ya H. pylori yanaweza kuwa katika za
Soma Zaidi...Uchunguzi wa kuharisha damu na tiba yake
Posti hii inahusu zaidi uchunguzi wa kuharisha damu na Tiba yake, ni Ugonjwa ambao unaowashambulia sana watoto hasa wenye chini ya umri wa miaka mitano, kwa hiyo huoaugonjwa tunaweza kuutambua na kutibu kwa njia zifuatazo.
Soma Zaidi...Dalili za mtoto Mwenye UTI
Posti hii inahusu zaidi dalili za mtoto Mwenye UTI,ni dalili ambazo uwapata watoto wadogo chini ya umri wa miaka mitano.
Soma Zaidi...Namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Post hii inahusu zaidi namna ya kuzuia maambukizi kwenye nephroni, ni njia zinazotumika kuzuia maambukizi kwenye nephroni
Soma Zaidi...Vyakula vinavyosaidia afya ya mwanaume
Afya ya mwanaume inahitaji muundo wa kipekee wa virutubisho ili kulinda moyo, kuongeza nguvu za mwili, kusawazisha homoni ya testosterone, na kuzuia matatizo ya tezi dume (prostate). Makala haya yanachambua vyakula vikuu vyenye uwezo wa kuimarisha afya ya wanaume, jinsi vinavyofanya kazi, na kuondoa dhana potofu zilizopo mitaani kuhusu vyakula vya kuongeza nguvu za kiume. βUtangulizi
Soma Zaidi...