Post hii inahusu zaidi juu ya ugonjwa wa kipindupindu.Ni dalili zinzojitokeza kwa magonjwa wa kipindupindu.
Dalili za ugonjwa wa kipindupindu
Ni dalili ambazo ujitokeza kwa mgonjwa wa kipindupindu.
1. Kutoa kinyesi Cha majimaji. Hi ni kwa sababu ya maambukizi kwenye tumbo ambayo umfanye mtu kupitisha kinyesi Cha majimaji ambacho ni hatari kwa afya ya binadamu
2. Kuishiwa maji mwilini, hiiusababishwa n kutapika na kuharisha ambavyo umaliza maji mwilini ,hali hiii inapaswa kutibiwa na kurudisha maji yaliyotokd maana hali hii isipotibiwa mapema uleta shida kubwa.
3. Tumbo kuuma na kutapika dalili nyingine na pamoja na kuumwa Tumbo na kuharisha.tumbo uuma kwa,sababu ya maambukizi kwenye tumbo na utumbo mdogo.
4.msuko wa damu upungua, hali hii usababishwa na mabadiliko ambayo utokea kwenye mwili ambayo so kawaid
3.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
TIBA YA MINYOO Moja katika sifa za minyoo ni kuwa wanatibika kwa urahisi pindi mgonjwa akipewa dawa husika.
Soma Zaidi...Ni muda gani nitaanza kuona dalili za HIV na kilimo kitaonyesha kuwa nimeathirika?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi tatizo la kuwepo kwa asidi nyingi mwilini hali uwasumbua watu wengi na kufikia kiasi cha kusababisha madhara mengine mawilini ikiwamo pamoja na kansa ya koo, ili kujua kama una wingi wa asildi mwilini unapaswa kujua dalili kama ifu
Soma Zaidi...Tonsillitis kwa kiswahili hujulikana kama mafundomafundo ambayo hutokea pande mbili karibu na Koo na huwa na uvimbe na zikikaa kwa muda bila matibabu hutoa usaha.Dalili na dalili za ugonjwa wa tonsillitis ni pamoja na
Soma Zaidi...Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma anayopaswa kupata mgonjwa wa ndengue, kwa sababu tunafahamu wazi Ugonjwa huu hauna dawa ila kuna huduma muhimu ambayo anaweza kupata na akaendelea vizuri.
Soma Zaidi...MATATIZO YA CHOO KIDOGO NA FIGOFigo ni kiungo muhimu sana katika uchujaji wa mkojo, na afya ya mfumo wa utoaji taka mwili.
Soma Zaidi...