Tofauti za uke

Posti hii inahusu zaidi tofauti mbalimbali za uke, kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo mbalimbali kwenye mwili wa binadamu kuna tofauti mbalimbali za ute kutegemea na hali iliyopo.

Tofauti za ute kwa Mama .

1.  Kuwepo kwa uke mweupe.

Kuna kipindi Ute unakuwa mweupe kwa akina Mama au akina dada huu ni Ute wa kawaida kabisa kutoka kwa akina Mama kwa sababu ya kutokuwepo kwa magonjwa au shida yoyote kwa hiyo akina dada au mama wakiona Ute mweupe ni Ute wa kawaida tu na ni vizuri kabisa.

 

 

 

 

 

2. Kuwepo kwa Ute wa maji maji na unatekeleza.

Kwa kawaida kuna kipindi Ute unakuwepo wa maji maji na unatekeleza ni dalili nzuri kabisa ya kuwepo utayari wa kubeba mimba, hasa kwa wale wenye tabia ya kutumia uzazi wa mpango kwa kutumia Ute wakiona Ute ni wa maji maji wanapaswa kutoshiriki tendo kwani ni rahisi kubeba mimba, na wakiona Ute ni mzito mimba haiwezi kupita kwa sababu Ute ule hairuhusu mbegu kupita.

 

 

 

 

 

3. Kuwepo kwa Ute wa njano.

Kuna kipindi mama au akina dada wanakuwa na Ute wa njano hii ni Dalili ya kuwepo kwa bakteria kwenye uke au sehemu za via vya uzazi ambazo Usababisha kuonekana kwa Ute na jinsi ulivyo , kwa hiyo bakteria hawa inawezekana ni wale wanaosababisha kuwepo kwa kaswende, kisonono na magonjwa mengine kama hayo ambayo Usababisha uke kuwa wa njano.

 

 

 

 

 

 

4. Kuwepo kwa Ute wa kahawia.

Kuna wakati mwingine kunakuwepo na Ute aina ya kahawia hii ni Dalili mojawapo ya kuwa mama au dada amemaliza hedhi,kwa sababu ya kuwepo kwa homoni mbalimbali ambazo usaidia katika shughuli zote za hedhi na kufanya hali kuwa ya kawaida usababisha Ute juwa wa kahawia, kwa hiyo ni vizuri kabisa kutambua haina hii ya Ute.

 

 

 

 

 

5. Kwa hiyo akina mama wanapaswa kuwa makini katika kuangalia aina za ute na kuweza kutambua kuwa ni viashiria gani kama ni Ugonjwa ni vizuri kabisa kutibu na kama ni wakati wa kubeba mimba ndio wakati wa fursa na kama Ute ni mwepesi na mtu hana mpango wa kubeba mimba ni kuacha kujamiiana kwa wakati huo.kwa hiyo ni vizuri kabisa kuhakikisha usalama wako wa afya kwa kuangalia ute.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/05/Tuesday - 05:45:20 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1723


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-