Tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume.

Posti hii inahusu zaidi tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume, ni tatizo ambalo uwakumba baadhi ya wanaume kwa sababu mbalimbali na pia Ugonjwa huu unatibika hasa kwa wale wanaowahi kupata matibabu.

Tatizo la kutokwa na majimaji kwenye uume.

1. Kuwepo kwa Maambukizi ya magonjwa ya zinaa  

Kwa wale wanaume ambao wanatumia ngono zembe yaani kujamiiana bila kutumia kondomu wanapatwa  sana na Magonjwa haya kwa sababu pengine wanakuwa hawajapona na hawajui afya zao kwa hiyo hawawezi kujua kuwa ni nani mwenye shida hatimaye wanajikuta kwenye tatizo la kupatwa na tatizo hili.

 

2.Maginjwa ya zinaa ni kama vile  Ugonjwa wa kisonono na kaswende, Tatizo la chlomydia, Tatizo la Trichomonous na kwa kiasi kidogo Maambukizi kwenye sehemu za siri ambayo kwa kitaalamu huitwa genital herpes na Magonjwa mengine ya zinaa.

 

3. Maambukizi kwenye kibofu cha mkojo ambayo kwa kitaalamu huitwa UTI maana yake ni ( urinary trac infection,  kama mwanaume ana ugonjwa huu na hajapima kugundua anawe kusababisha kuwepo kwa maji maji kwenye sehemu za siri.Kwa hiyo ni lazima kupima ili kuweza kutambua ni shida gani.

 

4. Pia kuna dawa ambazo zimependekezwa kutumika kwa watu wenye matatizo kama haya ya kutokwa majimaji kwenye sehemu za siri dawa hizi ni kama ifuatavyo Azithromycin, cefixine, ciproflaxino, Doxycycline na metronidazole na dawa hizi sio kuzitumia kiholela ila ni kupata ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya.

 

5.Kwa hiyo baada ya kuona chanzo cha tatizo la kutokwa damu kwenye sehemu za siri tunapaswa kuchukua vipimo haraka ili kujua chanzo ni nini na kuweza kupata matibabu kutoka kwa wataalamu wa afya.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/09/Wednesday - 11:43:26 am     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 6982


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-