Ongezeko la homoni ya estrogen

Posti hii inahusu zaidi ongezeko la homoni ya estrogen, kwa kawaida homoni hii ya estrogen inapaswa kulingana ikitokea ikaongezeka uleta madhara mbalimbali kwenye mwili na Kuna dalili ambazo zzz inaweza kujionesha wazi mpaka tukafahamu kuwa ni tatizo la o

Ongezeko la homoni ya estrogen mwilini.

1.  Kama tulivyotangulia kusema hapo mwanzoni kwamba homoni aina ya estrogen inabidi iwe sawia mwilini isiongezeke Wala kupungua, ikiongezeka unaleta madhara yake na ikipungua pia inaleta madhara kwa hiyo ni kuhakikisha kwamba homoni hii ipo kwenye usawa wake na Kuna sababu ambazo zinaweza kusababisha kuongezeka kwa homoni hii kama ifuatavyo.

 

2.  Chanzo kimojawapo ni kutumia madawa yaliyotengenezwa viwandani kwa kawaida madawa kama vile madawa ya njia za uzazi wa mpango pengine huwa na homoni ya estrogen na Mama kama anatumia madawa hayo mara kwa mara au kila siku usababisha kuongezeka kwa homoni ya estrogen kwa hiyo ni vizuri kupima afya zetu na kuomba ushauri pale hali ya mwili ikibadilika Ili kuweza kuepuka matatizo au madhara mbalimbali kwenye mwili wa binadamu.

 

3. Matibabu ya homoni.

Kuna wakati mwingine Kuna homoni zinakuwa zimepungua mwilini katika hali ya kuongeza hizo homoni usababisha hali ya dawa kupitiliza,badala ya kuleta tiba usababisha matatizo ya kuongeza homoni pamoja na matatizo mbalimbali kwenye mwili.

 

4. Matumizi ya dawa za asili zinazotumiwa na akina Mama wengi hasa wakati wa kumaliza hedhi kwakitaalamu huitwa menopause, katikati kipindi hiki Kuna mabadiliko mbalimbali ambayo yanaweza kusababisha mwili kubadilika katika matibabu hayo unaweza kukuta unaongeza homoni bila ya kujua hali ambayo usababisha madhara mbalimbali kwenye mwili.

 

5. Kwa hiyo akina Mama katika kipindi cha ukomo wa hedhi kuanzia miaka arobaini na tano na kuendelea upata matatizo mbalimbali kwa hiyo ni vizuri kabisa kupata ushauri wa wataalamu wa afya Ili kujiepusha na matatizo ambayo yanaweza kutokea hasa hasa katika wakati wa kutoa matibabu wawe waangalifu zaidi kwa sababu kipindi hiki Kuna mabadiliko mengi kwenye mwili wa Mama.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/03/Sunday - 04:29:41 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1695


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-