Njia za kutoa pesa ClipClaps
Ni Jambo jema Tena Leo kujifunza jinsi kutoa pesa na zikufikie kwenye akaunti yako
Mala kadhaa hujitokeza changamoto kwenye majukwaa ambayo tunatumia kujiingizia kipato na yote hayo husababisha na kutojua kwa kina namna jukwa Hilo linavyofanya kazi
Pia hii husababisha na sisi wenye kufanya Jambo bila kuwa na taalifa za kujitoshereza
Na kwasababu hiyo Sasa watu wengi wamepata hasala kubwa kwani wemekuwa wakiwekeza nguvu zao wakiamini mbeleni Kuna matunda . Ni kweri lakini hata unapofika wakati wa kuyachuma hukutana na vikazo vingi hivyo hushindwa kufikia lengo.
Hii ndiyo sababu imrnifanya kuandika makala hii ambayo itakufundisha jinsi ya kutoa pesa ClipClaps..
ClipClaps no jukwaa ambalo kwasasa linafanya vizuri na mm ni moja ya watumiaji na mashuhuda juu ya jukwaa Hilo
JINSI YA KUTOA PESA
Hili ni Jambo ambalo wengi wanatamani kukujua hivyo Basi twende kwenye mada husika
Kwa wale ambao hawana Akaunti na wanaitaji kujifunza jinsi ya kuitumia ingia www.funzoapp.com/
Utakutana na makala itakayokupa mwanga..kwa Leo tutajifunza jinsi ya kutoa pesa.
1. Hatua ya kwanza ingia kwenye app yako
Na hakikisha umeshatengeneza pesa ambazo hazipungui $10
Kama una poitnti hujazibadili kuwa dollar Basi zibadirishe kwanza
Baada ya kuzibadilisha Sasa kwenye dashboard yako utakuwa unaona kiasi Cha pesa bacho unacho Kama kinagika $10 unaweza ukatoa.
2. Hatua ya piri kwenye dashboard yako bonyeza kwenye dollars zako itafunguka ukulasa wa kutoa pesa ambapo utakutabkuna sehemu mbiri yakwanza upande wa kushoto ni PayPal. upande wa kulia utakouta other bonyeza hapo.
3. Hatua ya tatu ukishabonyea other itafunguka na utakutana Tena na sehemu mbiri changua ya kwanza bayo no mobile recharge bonyeza hapo.
4. Hatua inayofata baada ya kufungua itakuretea ukulasa wa kujaza ili ilipwe sehemu ya kwanza utachangua kod ya taifa lako kwa Tanzania ni tz 255
Sehemu ya piri utatakiwa uchangie mtandao utanitumia
Sehemu ya tatu utawela namba ya simu bila kuanza na 0 yaani mfano 71233562332
Chini kabisa utakutana na batani. CONFIRM
utabonyeza hiyo sehemu Itazungua kidogo na uta thibitisha..
Baada ya kuwa tayari umetuma taarifa zako utasubiri siku Nadi ya siku 7 za kazi pesa zako zitakuwa zimeingia kwenye simunyako uliyojaza.
Nimatumaini yangu Sasa kuwa tayari umejigunza jinsi ya kutoa pesa . Na Sina Shaka kuwa Sasa utakuwa na wasiwasi juu ya pesa zako ambazo umeshavuna
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufungua program nyingi kwa wakati mmoja
Soma Zaidi...Facebook ni mtandao wa kwanza wa kijamii (social media) unaotembelewa na watu wengi.
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vitu vya kufanya endapo memory au hard disk itajaa
Soma Zaidi...Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...NJIA RAHISI YA KUDOWNLOAD VIDEO YOUTUBE Teknolojia ya mawasiliano ni muhimu katika kuhakikisha kuwa ulimwengu unafikika kama kijiji kimoja na hapa ndipo unapata maana halisi ya neno UTANDAWAZA yaani kwa lugha ya kimombo ni globalization.
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..
Soma Zaidi...