Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufanya simu yako iwe fasta
JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO IWE FASTA
.tumesha taja baadhi ya mabo yanayofanya simu yako kuwa ipo SLOW sasa hebu tuone kwa ufupi mambo ambayo yatafaya simu yako iwe fasta ifanyae kazi kwa haraka zaidi. Yapo mambo mengi yanayofanya simu yako iwe fasta ila kwa uchache nitakutajia mabo matano ambayo ni:-
1.Ondoa application zote ambazo hauzitumii hasahasa zile ambazo zinaonekana kuchukuwa nafasi kubwa katika simu yako. Unaweza kuzitowa kwa kufanya uninstallation eidha kwa kutumia installer au customer unistallation yaan manualy wewe mwenyewe.
2.Jambo la pili ni kufuta cached data hizi ni data zilizohifadhiwa katika simu yako kutoka katika tovuti yaan website au kutoka katika application. Data hizi zinasaidia simu yako ifunguwe tovuti ile bila ya kuload tena. Lengo kubwa la data hizi na kuokowa muda wa kuload pindi unapofunguwa kurasa ileile. Jinsi ya kufuta data hizi inategemea na menu ya simu yako ila unakwena SETTING kisha STOTAGE au APPLICATION kisha CLEAR CACHE. Au unaweza kutumia application za playstore kupata application za kufuta cache au bofya hapa kupata application hizo.
3.Ondowa animation na live background au wallpaper.
4.Restart simu yako. Kuiristat simu ni njia mbadala na ya ufasaha zaidi katika kuifanya simu yako iwe fasta. Na hii ni kwa sababu unaporesrart simu yako inaanza upya kufanya kazi kwani itakuwa imejirifreshi. Hivyo kitendo hiki kitaifanya simu yako iwe na spid.
5.Restore simu yako kwa kufanya factory reset. Hii ni hatuwa ya mwisho zaidi kama simu yako inaendelea kuwa ipo slow na njia zingine zieshindwa. Kureset simu kunahitaji umakini kwani unaweza ukapoteza baadhi ya data zako. Jinsi ya kurestore nenda SETTING kisha SECURITY kinsha RESTORE. Kama itasumbuwa pia unaweza kutumia application kutoka playstore kwa ajili ya factory reset, kwa mpano bofya hapa kupata application
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya legacy contact katika facebook
Soma Zaidi...Wwatu wengi wamekuwa wakijiuliza ni muda gani hasa inapasa kuchaji simu, je nisubiri mpaka chaji iishe kabisa, ama nichaji ikiwa na asilimia ngap?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kujibu swali la je nitumie simu yangu wakati inachaji
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook
Soma Zaidi...Facebook hawana mpango wa kufunga akaunti ambazo hazijatumiwa kwa muda mrefu, haijalishi akaunti ni ya marehemu ama yupo hai.
Soma Zaidi...Kuna mambo mengi sana ambayo yanachangia simu yako kutokuwa na mtandao mzuri yaani network kuwa ndogo.
Soma Zaidi...Malware ni neno pana na watu wengi si wenye kulitumia.
Soma Zaidi...Facebook ni mtandao wa kwanza wa kijamii (social media) unaotembelewa na watu wengi.
Soma Zaidi...