Navigation Menu



image

Kurudisha mafaili na data zilizopotea

Posti hii inakwenda kukupa elimu ya kurudisha mafaili na data zilizopotea

KURUDISHA MAFAILI NA DATA ZILIZOPOTEA

vipi utarudisha data ulizozipoteza kwa simu?1. kurudisha contact na data zingine kwa kutumia internetumepoteza laini usipatetabu ukiwa na simu nyingine ya smart phone nenda SETTING,kisha nenda ACCOUNT&SYNC menu hii inategemea na simu kisha washa on ACCOUNT&SYNC hakikisha email umeweka ileile ambayo ulikuwa ukiitumia katika simu ilopotea au laini ilopotes.huduma hii ni ya bure kwa watumiaji wa email za google yaan @gmail.com.

 

Contact zitakazorudi ni zole ambazo ulizihifadha save kwenye email yako ya google tu. kwa kuwa google haina limit ya kuhifadhi contact zako ningeshauri ukusave contact utumie google email ili iwe rahisi kurudisha data hizo. Pia huduma hii unaweza ukaipata katika website bofya  HYPERLINK "https://www.fullcontact.com/features/sync-google-contacts/" HAPA kwa maelezo zaidi juu ya kuipata huduma hii kwa kutumia website.

 

Pia kwa watumiaji wa mtandao wa  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tigo.backup" TIGO kuna application yao ya tigobackup ambayo itakuwezesha kurudisha data zako zilizopotea ziwikwa ni contact, picha, SMA,video au audio kuipata application hiyo nenda playstore andika  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tigo.backup" TIGOBACKUP au bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.tigo.backup" hapa kupata apllication hiyo. Zipo application zingine nyingi tuu zinazoweza kufanya huduma hii ila nyingi katika hizo zinahitaji ulipia bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/search?q=BACKUP&c=apps" hapa upate list ya application hizo. Pia ikumbukwe kuwa application zote nilizotaja hapo juu zinatumia internet kuweza kufanya kazi yake ya kuweka na kurudisha data hizo. pia unaweza kutumia  HYPERLINK "https://www.google.com/drive/" google drive bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.apps.docs" hapa kupata drive playstore au unaweza kutumia  HYPERLINK "https://www.dropbox.com/?landing=cntl" drop box bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.dropbox.android" hapa kupata drop box play store. hizi mbili ni za free. ni rahisi kutumia nenda playstoe kwa linki za juu haopo kisha download kisha logni kisha anza kuaplod data zako. unaweza kuzifikia data zako hata kama uko bali na simu yako yaani hata kama upo internet cafe unaweza kuzifunguwa data hizo. Hivyo ikipotea umepoteza simu yako data zile zitaendelea kuwepo online, kuzipata LOGIN kisha zidaunlod.2.kurudisha data bila ya internet

 

Hapa itahitajika utumie software au application. pia ni vizuri simu yako uweke RECYCLE BIN ili kurahisisha huduma hii. Pia ijulikane kuwa huduma hii inafanya kazi kwa ufasaha katika simu iliyofanyiwa ROOTING. Hivyo root simu yako bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.smartechmedia.queenrootmediapps" hapa kupata application za kuroot simu au bofya  HYPERLINK "https://www.kingoapp.com/root-tutorials/how-to-root-android-without-computer.htm" hapa kujuwa namna ya kuroot bila ya kutumia kompyuta. Post zijazo tutazungumzia jambo hili nini maana ya kuroot na kuna faida gani kufanya hivyo.

 

kama simu yako imeshafanyiwa reeting nenda playstore ukadaunload application za kurudisha data zilizopotea kwa kufutwa kutoka kwenye simu yako bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=mobi.bihu.recovery" hapa kupata application hizo au bofya  HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=com.recycle.bin" hapa kupata recycle bin.pia unaweza kutumia kompyuta kurudisha data zilizopotea kwa kutumia computer data recovery software kama tutakavyo zungumza tutapoangalia kurudisha dta kwenye flash au external meory.

2. kurudisha data zilizopotea kwenye kompyutaData za kwenye kompyuta zimaweza kupotea pale zinapofutwa katika recycle bin, au kufomat disk au pindi unapofanya disk partition.Kwa upande wa kompyuta unaweza kurudisha data hizi kwa kutumia internet yaan online au bila ya kutumia internet.

1. Kurudisha kwa kutumia internetHapa tunatumia software ambazo zinafanya backup ya data zako kwenye hifadhi inayofanyakazi online. Hapa nitazungumzia software 2 ambazo ni  HYPERLINK "https://www.google.com/drive/" google drive na  HYPERLINK "https://www.dropbox.com/?landing=cntl" drop box bofya katika maneno hayo kwa maelezo zaidi.

Google driver" hii inakupa 15 GB za free kuapload data zako. Kwa kutumia hifadhi hii unaweza kuhifadhi data zenye ukubwa wa  GB 15 na unaweza kuongeza GB nyingi zaidi kama ukilipia. H ivyo kama utakuwa umehifadhi data zako hapa pindi ikipotea simu au kopyta au iwa upo mbali na kompyuta yako au simu yako umnaweza kuingia https://www.google.com/drive/  kwa kupata data zako zilizopo google drive au https://www.dropbox.com/?landing=cntl kupata data ulizozihifadhi drop box. Kitu cha msingi ni kuhakiisha kuwa data zako umeziaplod kwenye mitandao husika hivyo ukizitaka utalogin kisha utaanza kuzidownlod au kuzifunguwa bila ya kuzidaunlod. Zipo software zingine ziingi tu kwa kufnya kazi hii ila itahitajika kuzilipia kwa mfano bofya  HYPERLINK "https://www.prosofteng.com/data-backup-software/" hapa uone software inayoweza kubackup data kuanzia 16 GB, 500 GB mpaka 1000 GB yaan 1TB.






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Teknolojia Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 2313


Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉5 Madrasa kiganjani     👉6 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

JE NITUMIE SIMU YANGU WAKATI INACHAJI?
Watu wengi wamekuwa wakijiuliza swali hili. Soma Zaidi...

TEKNOLOJIA NA MAWASILIANA
1. Soma Zaidi...

Muda wa kuchaji simu yako
Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako Soma Zaidi...

Tofauti ya Trojan na virusi
Posti hii inakwenda kukupa tofauti za trojani na virusi Soma Zaidi...

Kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao Soma Zaidi...

Maana ya legacy contact katika Facebook
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya legacy contact katika facebook Soma Zaidi...

Nini chanzo cha tatizo la computer au simu yako
Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu chanzo cha tatizo la computer au simu yako Soma Zaidi...

Kurudisha data zilizo potea
Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta.. Soma Zaidi...

Jinsi ya kufanya simu yako iwe fasta
Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufanya simu yako iwe fasta Soma Zaidi...

yanayoathiri betri ya kifaa chako
makala hii itakuelezea mambo makuu ambayo ni hatari kwa usalama wa betri ya kifaa chako Soma Zaidi...

Jinsi ya kutuma sms ndefu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu Soma Zaidi...

Utafanyaje ili blog yako ionekane Google, Big, Yandex ama yahoo?
Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo. Soma Zaidi...