Kupata Ukimwi ama HIV hufungamana na mambo mengi. Si kila anayefanya ngono zembe nabmuathiria naye lazima aathirike. Hiivsibkweli, ila tangu kuwa hali hii ni hatari kwani kupata maambukizi ni rahisi sana.
Swali
Je ukitokea mchuko wakati wa ngono je naweza pata Ukimwi?
Jibu
Ndio unaweza pata Ukimwi huwenda pia usipate. Itambulike kuwa muathirika anayetumia dawa vyema kwa taratibu zote kwa muda mrefu anakuwa nabhataribndigo ya kuambukiza wengine.
Pia niweke jambo wazi hapa kuwa kuvaa kondomu pekee hakuwezi kujikinga na HIV kwa 100% kwani unaweza pata maambukizi kupitia michubuko na minato kama ulivyoa na mwenzio alinyoa na kwa. Bahati mbaya wakati wa shughuli vijeraha vidogo vikatia maji na yakakutana.
Hii inamaanisha mtu awe makini hata kama amevaa kondomu. Pia wakati mwingine inaweza kupasuka na. Kusababisha makutano ya majimajibya mwilini na kusababisha maambukizi.
Katika hali ya kawaida endapo hakukutokea michubuko hatari ya kupata maambukizi huwa ni ndogo. Nasema ni ndogo kwa sababu ngono sio njia pekee ya kusababisha maambukizi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaelezea kiufupi kabisa kuhusiana na Dalili za hatari kwa mama aliyejifungua.
Soma Zaidi...Mimba hatari iliyotungia nje ya mji wa mimba, ni zipi dalili zake na ni kivipo mimba inatungia nje?
Soma Zaidi...Maumivu ya tumbo kwa mjamzito huweza kuanaa kuonekana mwanzoni kabisa mwaujauzito, ndani ya mwezi mmoja. Ikabidi si dalili pekee ya kuwa ni mjamzito.
Soma Zaidi...Inaweza kutokea ukapima mimbaikawa ipo, na baada ya wiki kadhaa unapima tena haipo. Hali hii unadhani inaweza kusababishwa na nini?
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuepuka fangasi za ukeni, ni njia ambazo usaidia kuepuka madhara ya fangasi za ukeni.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku ya 7 Hadi ya 14
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea hatua za ukuaji mimba na dalili zake
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Utasa wa Mwanaume hutokana na uzalishaji mdogo wa mbegu za kiume, utendakazi usio wa kawaida wa manii au kuziba kwa manii ambayo huzuia utoaji wa mbegu za kiume. Magonjwa, majeraha, matatizo ya kiafya sugu, u
Soma Zaidi...